BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,606
- 5,922
Napita tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiwe ni naniNdio maana jiwe anataka kufungia mitandao ya jamii
MzilankendeJiwe ni nani
nasikia ni chuma sio jiweMzilankende
Kuna wanaongea tu kwakua wana midomo.Hawajui maana ya maisha mgumu.Mngekuwa na maisha magumu mngenunua bundle?
Njoo ile mitaa yetu huku wachawi wengi[emoji7][emoji7]Missing you bwana
Sunbelt lita tano 26000Mafuta dumu la lita 20 tunanunua kwa tsh60000
Mzee baba mafuta gani hayo, sunbelt lita tano 26000Mafuta ya kula robo 1200
Nimepoteza ramani, hebu nipatie tenaNjoo ile mitaa yetu huku wachawi wengi[emoji7][emoji7]
Mchele ni anasa Dar. Kilo ya mchele ule mbaya kabisa ni shs 3000
Nitatizo la muda ili kupata ufumbuzi wa kudumu.Siandiki kwa Ushabiki Bali kwa uchungu! Mafuta ya kupikia yameshakua dili. Waliyonayo wameyafungia, naomba serikali ya CCM isiwakamate lakini iwabembeleze wayauze. Wanaouza wanauza kwa bei ya juu. Source, Dukani kwa Mangi.
mfumuko wa bei unazidi tu iko kipindi mfanyakazi utakuwa 1m ila isitoshe kukuendeshea maisha ata Kwa wikiHahaa, khaa! Mbona tutakoma