Tetesi: Hatimae Yametimia, Hakuna Mafuta ya kupikia

Tetesi: Hatimae Yametimia, Hakuna Mafuta ya kupikia

Tumeanza kwenye korosho sasa tunaingia kwenye mafuta. Lazima wakulima wafaidi jasho lao.
 
Afadhali tumechoka na mifuta mingi kwenye misosi.ngoja sasa tuanze kula michemsho ya chipsi
 
Mafuta ni tatizo kwa sasa kila siku yanapanda bei tatizo ni serekali au ni wafanyabiashara
 
Mchele ni anasa Dar. Kilo ya mchele ule mbaya kabisa ni shs 3000

Mchele tatizo ni jua mpunga upo ila utaanika wapi ili ukoboe jua hakuna kila.muda mvua inanyesha
 
Siandiki kwa Ushabiki Bali kwa uchungu! Mafuta ya kupikia yameshakua dili. Waliyonayo wameyafungia, naomba serikali ya CCM isiwakamate lakini iwabembeleze wayauze. Wanaouza wanauza kwa bei ya juu. Source, Dukani kwa Mangi.
Nitatizo la muda ili kupata ufumbuzi wa kudumu.
 
hayajapote bali mfumuko wa bei unathibitiwa....!!!!
 
Back
Top Bottom