Tetesi: Hatimae Yametimia, Hakuna Mafuta ya kupikia

Tetesi: Hatimae Yametimia, Hakuna Mafuta ya kupikia

Siandiki kwa Ushabiki Bali kwa uchungu! Mafuta ya kupikia yameshakua dili. Waliyonayo wameyafungia, naomba serikali ya CCM isiwakamate lakini iwabembeleze wayauze. Wanaouza wanauza kwa bei ya juu. Source, Dukani kwa Mangi.
Yaani mwaka huu tutatumia mafuta ya Kitimoto kwa lazima
 
T
Siandiki kwa Ushabiki Bali kwa uchungu! Mafuta ya kupikia yameshakua dili. Waliyonayo wameyafungia, naomba serikali ya CCM isiwakamate lakini iwabembeleze wayauze. Wanaouza wanauza kwa bei ya juu. Source, Dukani kwa Mangi.
Tutumie mawese
 
mafuta dili sana ndoo ndogo mkoani morogoro 45000 kwa wiki hii
 
wala hamtafanikiwa.
CCM ndio maana nawachukia saaaana, nilipoweka uzi wangu kuhusu Mafuta kuadimika, mijitu ikaanza kuniponda, sasa watu Hao Hao ndio leo wanasapoti anachoongea Majaliwa! Pumbafu kabisaa, msiwe mazumari
 
Michele mwingi sana mwaka huu karbuni wilaya ya magu mwanza
Nataka kuamia wilaya ya magu vipi maji umeme na hali ya maisha nikimaanisha chakula na gharama za maisha ikiwa pamoja na nyumba za kupanga ni vipi? Je kuna shule binafsi ngapi za watoto wa chekechea
 
Back
Top Bottom