Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] mambo ya waswahil hapo kesho biharusi ataanza postMake up inaitwa hayawi hayawi sasa yamekua
Wahenga na maneno yao, duh!Ndoa za mastaa huwa hazidumu na dini yenyewe talaka ni ruksa wakichukua miaka 3 Mungu anajua
Huh huhuh..Makeup za hivi huleta breakup pale bibi harusi anapooga na bwana harusi anagundua kuwa makinikia yake sio yale mashobo aliyotegemea!
Sent using Jamii Forums mobile app
sema muhenga
Umechagua kuwa mpiga ramli....dua la kuku hilo.Ndoa za mastaa huwa hazidumu na dini yenyewe talaka ni ruksa wakichukua miaka 3 Mungu anajua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duuuuh hizo pua mbona zimekuwa kubwa hivyo??
Pogba wa tz nchi imekushinda!
talaka nomaNdoa za mastaa huwa hazidumu na dini yenyewe talaka ni ruksa wakichukua miaka 3 Mungu anajua