Hatimaye Abdul Mohamed(Azam Sports) afunga ndoa na DC wa Pangani

Hatimaye Abdul Mohamed(Azam Sports) afunga ndoa na DC wa Pangani

Safi sana maharusi wamependeza kweli kweli kila la kheri

sent from kuzimu
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Ahahaa hitimisho hilo limenifanya nichunguze kwa umakini makeup.

Hongera zao
Hii make up niliichunguuza instagram....

Nilipouona tena uzi cha kwanza make up...... tena [emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102]

Sijui ilikuwa chaguo la bi harusi au MUA aliamua tu

Hongera zao kwa ndoa
 
Aisee wanaume wa tz nimewashindwa Mi ndiyo maana sipakagi hayo kuogopa kujadiliwa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee hivi unadhani ni jambo gani utafanya usijadiliwe? Binadamu hawana jema angalia moyo wako. Ukiniambia huyapendi sawa ila kukwepa kujadiliwa unaidhulumu nafsi buree

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom