trigeminal
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,944
- 2,283
Hiyo make up uso unakua kama kachumbari
Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwana harusi handsome... hongera kwao
Lol.... umenivunja mbavuMake up inaitwa hayawi hayawi sasa yamekua
kwani si wanajuana tangu zamani... au wamekutana siku ya ndoa??Makeup za hivi huleta breakup pale bibi harusi anapooga na bwana harusi anagundua kuwa makinikia yake sio yale mashobo aliyotegemea!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ndugu.Umepiga tembo kwa bua[emoji3]
Hili li mtu lipo lipo tu hapa duniani hajui lolote huyu[emoji3]
Wallahy namshkuru Allah kwa kunikaalia kuhifadhi Quraan Qareem na biblia (alhamdulillah)
Zote nimihifadh kichwani
Sasa naweza kumuuliza swali kwa hoja makini saana na kwa maandiko na yeye anijibu kwa hoja na kwa maandiko[emoji3]
Uone kama hajalala mbele[emoji3]
MajuNgu lazima! Mbona magu mweNyewe kanipiga jungu juzi?acheni majungu
Kayoka... sasa wabaya wataolewa na nani??Namshangaa kaenda kuoa dubwasha kama lile, hawaendani hata kidogo.
Hahahahaha
Huyu DC si ndio yule mdogo kuliko Ma DC wote.?
Daah hakika amezingatia kitu kinaitwa muda. Otherwise ingekua mali ya wakubwa, walau hapo kunakua na kauoga kidogoNdiye yeye Zainab, ni mtoto wa 90's mwili tu huo hana ukubwa wowote
Usimkuze mtoto wa watu ndio kwaaanza ana miaka 24 na wala sio single mom.... usihadahike na mwili huo.Bi mkubwa kaondokana na usingle mother
Usimkuze mtoto wa watu ndio kwaaanza ana miaka 24 na wala sio single mom.... usihadahike na mwili huo.
Fatilia Dc mdogo kuliko wote Tanzania.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.