Hatimaye Abdul Mohamed(Azam Sports) afunga ndoa na DC wa Pangani

Hatimaye Abdul Mohamed(Azam Sports) afunga ndoa na DC wa Pangani

Kayoka... sasa wabaya wataolewa na nani??
Sijui yani nani atatupa sisi... wanataka tuolewe na wabaya wenzetu tuzidi kuongeza idadi ya wabaya duniani. Ila kwa Zainab na Abdul watazaa watoto wazuri sana.
 
Back
Top Bottom