SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,027
- 5,344
Sema unaongea kwakuwa unamfahamu...Naongea kwa sababu namjua
Kama unamjua basi itakuwa mnasagana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema unaongea kwakuwa unamfahamu...Naongea kwa sababu namjua
suti na shela!!?mimi hapo ndio huwa nakwazika na utamaduni wa Waomani kuufanya kuwa utamaduni wa kiislamu.
mental slavery.
Sent using Jamii Forums mobile app
Make up ...[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]View attachment 560658 View attachment 560656 View attachment 560655
Naona bwana Mdogo Abdul Mohamed,General Manager wa Azam Sports Club ameachana na ukapela na hatimaye kufunga ndoa na Mkuu wa Wilaya ya Pangani Bi.Zainabu Abdalah!!
Make up ya Bibi Harusi ipo Ok kabisa...Hakuna matata
Ngoja niende nikavicheki kwanza....nitarudi
Akiwa mwembamba pua itaonekanaje...bora abaki hivyoMkuu kila mtu na mtuwee... Van ni mzuri hasa ila hata bibi harusi sio mbaya labda sababu ni mnene kupitiliza.
Sio kila ukipangacho kitakua kama kilivyo.....Sawa kiarabu lkn hajapendeza sasa ndo kaenda kutisha zaidi....iga kwa akili.....sio kila kitu kinafaa ku paste.Wivu tuu
Theme yao ni ya kiarabu
Mavazi pia
Hata make up
Mlitaka apake ya kiuwalimu walimu
Wivu tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Haramu kwako halali ya mwenzakoSio kila ukipangacho kitakua kama kilivyo.....Sawa kiarabu lkn hajapendeza sasa ndo kaenda kutisha zaidi....iga kwa akili.....sio kila kitu kinafaa ku paste.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] yaan nam ndo nafikiria hapa ameupataje maana Kwa umri huo jmn m nilikuwa ndo namaliza chuo ambapo ni umri wengi wanaokuwa wanamaliza au anaemfahamu Bi harusi jmn
Ila ana uso mzuri ila mwili ajitahid zoezi aiseeePaka kwa kiasi mama.. sio unajikandika mpaka unatisha.. halafu kuna watu ni wazuri zaidi wakiwa hawana make up kama mh DC hapo.
Acha uchuroNdoa za mastaa huwa hazidumu na dini yenyewe talaka ni ruksa wakichukua miaka 3 Mungu anajua
Aah jmn htrSema unaongea kwakuwa unamfahamu...
Kama unamjua basi itakuwa mnasagana.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Sema unaongea kwakuwa unamfahamu...
Kama unamjua basi itakuwa mnasagana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ule mwili naona ni wa asili kuupunguza sio rahisi kihivyo.. kama kapata mtu aliekubali mke wake mpaka kumuweka ndani inatosha kujikubali na yeye..
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Na wale wanaoiga wa kizungu kuvaa suti hukwaziki?
Katisha haswaa[emoji85]Haramu kwako halali ya mwenzako
Kapendeza sana mdada
Mambo arab arab
Sent using Jamii Forums mobile app