Hatimaye Abdul Mohamed(Azam Sports) afunga ndoa na DC wa Pangani

Huyo abdul Mohamed ni handsome.
Kama ni huyu niliyekuwa nikimfahamu mimi mwaka 2007 pale sinza madukani mkono wa kushoto ukitokea legho Kwa mama J & H wale mapacha wakike na kiume basi HB tangu akiwa hana maisha.

😂😂maisha yanaenda kasi sana.kijana alikuwa mnyenyekevu Kwa kila mtu sijui kama atakuwa amebadilika
 
Ndoa za mastaa huwa hazidumu na dini yenyewe talaka ni ruksa wakichukua miaka 3 Mungu anajua

We dini yako iso ruhusu talaka ila bd mnaachana kila siku [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Juma Aweso akiziona hizi picha lazima aingiwe tu na ule wivu wa kibinadamu hata kama alimpora jamaa mke wake.

Angetamani kuwa wa kwanza kumuona Bi. Zainabu! Ila ndiyo hivyo tena. Alichelewa, hata ndiyo mmiliki kwa sasa.
 
[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkaka n handsome jaman, uwiiiiiiiih
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…