Hatimaye Abdul Mohamed(Azam Sports) afunga ndoa na DC wa Pangani

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] yaan nam ndo nafikiria hapa ameupataje maana Kwa umri huo jmn m nilikuwa ndo namaliza chuo ambapo ni umri wengi wanaokuwa wanamaliza au anaemfahamu Bi harusi jmn

Sent using Jamii Forums mobile app
Alikua mwenyekiti taifa wa wanaccm vyuo vikuu...
 
huo ukuu wa wilaya alipata kipindi gani vile?
 
Mume Dsm ,Mke Pangani asa sijui mke akiwashwa gafla nani atamkuna,

ee Mungu ee tupe roho ya kusamehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…