Acha kunishusha cheo, mimi situmikishwi na Shetani, mimi ndiye Shetani mwenyewe.Umeanza Al-Watan,umekuta watu wanachangia vizuri unachafua hali ya hewa,lini utaacha kutumikishwa na Shetani?
Kudadeki walah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]muda si mrefu anaanza kula vyombo ....namtakia mgegedo mwema
Sijafurahi,kwa kuwa najua wewe si Shetani,bado una nafasi ya kumrudia muumba wako.Hata hivyo nashukuru kwa taarifa.Sina haja tena ya kusumbuka na wewe kwa habari ya wokovu,kwa kuwa umeshafanya uamuzi ya kuwa makao yako ya kudumu ni jehanam.Pole kwa uchaguzi mbovu.Acha kunishusha cheo, mimi situmikishwi na Shetani, mimi ndiye Shetani mwenyewe.
Hapo vipi, umefurahi sasa?
Sasa mbona unajichanganya mwenyewe, unasema huna haja ya kusumbuka na mimi wakati unaendelea kusumbuka na mimi?Dah,nashukuru kwa taarifa.Kumbe sina haja ya kusumbuka na wewe kwa habari ya wokovu,makao yako ya kudumu ni jehanam.Pole kwa uchaguzi mbovu.
Unaweza kuthibitisha huyo muumba yupo?Sijafurahi,kwa kuwa najua wewe si Shetani,bado una nafasi ya kumrudia muumba wako.Hata hivyo nashukuru kwa taarifa.Sina haja tena ya kusumbuka na wewe kwa habari ya wokovu,kwa kuwa umeshafanya uamuzi ya kuwa makao yako ya kudumu ni jehanam.Pole kwa uchaguzi mbovu.
Hakuna binadamu aliyeandikiwa jehanam Al-Watan,ndio maana naenda na kurudi,nakuonea huruma.Sasa mbona unajichanganya mwenyewe, unasema huna haja ya kusumbuka na mimi wakati unaendelea kusumbuka na mimi?
Hivi unajua kama unakwenda au unarudi wewe?
Jehanum unaelewa maana yake nini wewe?
Message sent,inatosha.Unaweza kuthibitisha huyo muumba yupo?
Jehanamni dampolililokuwapo Jerusalem. Wayahudi kwa akili zao za kutisha watu wakasema ukifa na dhambi utaenda motoni.Hakuna binadamu aliyeandikiwa jehanam Al-Watan,ndio maana naenda na kurudi,nakuonea huruma.
Jehanam ya moto naijua mkuu,ila labda Shetani amekupa a different version of hell,maana yeye ni baba wa uongo.
Kama Mtumishi kunajambo naliona.. Bado asichoke kumuomba Mungu..Bwana Yesu apewe sifa....
ule msemo usemao kelele nyingi zinamshindo mkuu...hatimaye mwimbaji pendwa wa nyimbo za injili Tanzaniakama(upendo wa kweli na siku moja) ambwene mwasonge ametangaza uchumba na muda si mrefu ataingia kwenye ndoa..
Kiukweli ambwene amechukua chombo kizuri sana kama biblia inavyosema "apataye mke na kapata kitu chema"
Wewe unaweza kuthibitisha kwamba jehanam ya moto haipo na Mungu hayupo?Mimi naweza kuthibitisha kwamba yupo, kwa kuwa amenithibitishia kwa Roho wake Mtakatifu ambae ninae, kwamba yupo na hata uumbaji wake unathibitisha kwamba yupo.Jehanamni dampolililokuwapo Jerusalem. Wayahudi kwa akili zao za kutisha watu wakasema ukifa na dhambi utaenda motoni.
Hakuna aliyefika huko motoni akaweza kututhibitishia kupo.
Mungu hayupo. Kama unasema yupo thibitisha.
Acheni kuamini ujinga.
Kwanza kabisa kuthibitisha ni nini na kuthibitisha kutakakokuridhisha wewe ni kupi?Wewe unaweza kuthibitisha kwamba jehanam ya moto haipo na Mungu hayupo?
Kuna ulazima wa wewe ku-prove, ili usije ukamkuta ukatahayari at the end game.You will be stupid not to do so,because most people testify his precence.Kwanza kabisa kuthibitisha ni nini na kuthibitisha kutakakokuridhisha wewe ni kupi?
Pili,unajua kwamba anayesemakitu kipo ndiye mwenye mzigo wa kuthibitisha, anayebisha kazi yake ni kudai uthibitisho tu?
Unaweza kuthibitisha kitu kipi ambacho hakipo kwamba hakipo? Na unathibitishaje?
Hujajibu maswali yangu.Kuna ulazima wa wewe ku-prove, ili usije ukamkuta ukatahayari at the end game.You will be stupid not to do so,because most people testify his precence.
aisee nimekushindwaaawana gubu sana .hata tendo la ndoa atakuambia mungu hajamuonesha msex siku hiyo.ngoja tumuulize bwana blah blah kibao.
Elli atupe jibuuHebu weka picha yake tuone...... 😵 😵 😵 kwanjni waliachana sababu???kumbe ndo maana jamaa kachelewa kuoa???
Eeeeeeeeeeeh
Hahaaa. Mzowee tu kwa kweli.