Hatimaye Ambwene Mwasonge amuweka hadharani mke mtarajiwa

Umeanza Al-Watan,umekuta watu wanachangia vizuri unachafua hali ya hewa,lini utaacha kutumikishwa na Shetani?
Acha kunishusha cheo, mimi situmikishwi na Shetani, mimi ndiye Shetani mwenyewe.

Hapo vipi, umefurahi sasa?
 
Sijafurahi,kwa kuwa najua wewe si Shetani,bado una nafasi ya kumrudia muumba wako.Hata hivyo nashukuru kwa taarifa.Sina haja tena ya kusumbuka na wewe kwa habari ya wokovu,kwa kuwa umeshafanya uamuzi ya kuwa makao yako ya kudumu ni jehanam.Pole kwa uchaguzi mbovu.
 
Dah,nashukuru kwa taarifa.Kumbe sina haja ya kusumbuka na wewe kwa habari ya wokovu,makao yako ya kudumu ni jehanam.Pole kwa uchaguzi mbovu.
Sasa mbona unajichanganya mwenyewe, unasema huna haja ya kusumbuka na mimi wakati unaendelea kusumbuka na mimi?

Hivi unajua kama unakwenda au unarudi wewe?

Jehanum unaelewa maana yake nini wewe?
 
Sijafurahi,kwa kuwa najua wewe si Shetani,bado una nafasi ya kumrudia muumba wako.Hata hivyo nashukuru kwa taarifa.Sina haja tena ya kusumbuka na wewe kwa habari ya wokovu,kwa kuwa umeshafanya uamuzi ya kuwa makao yako ya kudumu ni jehanam.Pole kwa uchaguzi mbovu.
Unaweza kuthibitisha huyo muumba yupo?
 
Sasa mbona unajichanganya mwenyewe, unasema huna haja ya kusumbuka na mimi wakati unaendelea kusumbuka na mimi?

Hivi unajua kama unakwenda au unarudi wewe?

Jehanum unaelewa maana yake nini wewe?
Hakuna binadamu aliyeandikiwa jehanam Al-Watan,ndio maana naenda na kurudi,nakuonea huruma.

Jehanam ya moto naijua mkuu,ila labda Shetani amekupa a different version of hell,maana yeye ni baba wa uongo.
 
Jehanamni dampolililokuwapo Jerusalem. Wayahudi kwa akili zao za kutisha watu wakasema ukifa na dhambi utaenda motoni.

Hakuna aliyefika huko motoni akaweza kututhibitishia kupo.

Mungu hayupo. Kama unasema yupo thibitisha.

Acheni kuamini ujinga.
 
Bwana Yesu apewe sifa....

ule msemo usemao kelele nyingi zinamshindo mkuu...hatimaye mwimbaji pendwa wa nyimbo za injili Tanzania
4cc0a85218767459f666b00e4d8a7914.jpg
kama(upendo wa kweli na siku moja) ambwene mwasonge ametangaza uchumba na muda si mrefu ataingia kwenye ndoa..

Kiukweli ambwene amechukua chombo kizuri sana kama biblia inavyosema "apataye mke na kapata kitu chema"
ec97b725cc6bcb690bbcd22b79ce9e00.jpg
Kama Mtumishi kunajambo naliona.. Bado asichoke kumuomba Mungu..
 
Jehanamni dampolililokuwapo Jerusalem. Wayahudi kwa akili zao za kutisha watu wakasema ukifa na dhambi utaenda motoni.

Hakuna aliyefika huko motoni akaweza kututhibitishia kupo.

Mungu hayupo. Kama unasema yupo thibitisha.

Acheni kuamini ujinga.
Wewe unaweza kuthibitisha kwamba jehanam ya moto haipo na Mungu hayupo?Mimi naweza kuthibitisha kwamba yupo, kwa kuwa amenithibitishia kwa Roho wake Mtakatifu ambae ninae, kwamba yupo na hata uumbaji wake unathibitisha kwamba yupo.

Kwa bahati mbaya kwa kuwa wewe sio Mwana wa Mungu, kwa hiyo huna huyo Roho Mtakatifu,mambo ya Mungu huwezi kuyaelewa na kuyatambua,kwa kuwa yanaeleweka kwa jinsi ya rohoni tu.
 
Mungu awabariki hawa walokole, binafsi sijui kama hadi umri huo ningekuwa sijaoa ningekuwa naishije, ni uvumilivu wa hali ya juu sana. na amini usiamini, hao jamaa huwa hawagegedi hadi ndoa.
 
Wewe unaweza kuthibitisha kwamba jehanam ya moto haipo na Mungu hayupo?
Kwanza kabisa kuthibitisha ni nini na kuthibitisha kutakakokuridhisha wewe ni kupi?

Pili,unajua kwamba anayesemakitu kipo ndiye mwenye mzigo wa kuthibitisha, anayebisha kazi yake ni kudai uthibitisho tu?

Unaweza kuthibitisha kitu kipi ambacho hakipo kwamba hakipo? Na unathibitishaje?
 
Kuna ulazima wa wewe ku-prove, ili usije ukamkuta ukatahayari at the end game.You will be stupid not to do so,because most people testify his precence.
 
Hujajibu maswali yangu.

Kwanza kabisa kuthibitisha ni nini na kuthibitisha kutakakokuridhisha wewe ni kupi?

Pili, unajua kwamba anayesema kitu kipo ndiye mwenye mzigo wa kuthibitisha, anayebisha kazi yake ni kudai uthibitisho tu?

Back
Top Bottom