Hatimaye amepanda, Magufuli amvulia kofia Diamond Platnumz

Hatimaye amepanda, Magufuli amvulia kofia Diamond Platnumz

crankshaft

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,427
Reaction score
3,438
Rais Magufuli aliamua kumvulia na kumvisha kofia yake Diamond Platnumz simbaaa baada ya performance yake katika uwanja wa ccm kirumba jijini mwanza.

Ila kijana wetu anaadabuu, mara baada ya kuitwa jukwaa kuu alienda anakimbia 🤣🤣🤣
Diamond platnumz simbaaa baba lao rais halali wa muziki Tanzania.

kofia.jpg
 
Back
Top Bottom