Hatimaye Anerlisa asaini Hati ya Talaka iliyowasilishwa na Ben Pol Mahakamani

Anerlisa yeye amedai sahi ako committed kwa kazi yake, nothing else. 😂 Wadada wana mambo!
Na mbona anamsue kama yuko commited kwa kazi zake....kuna kale kawimbo kanasema usitumie peeesa kama fimbo mama.....
 
Ila twende na ukweli ndoa sa hv ni mtiti haswa

AY sikutarajia. Alioa mtoto wa kinyarwanda kama sikosei, na mama yake pia nadhani anatokea kipande hiyo ila baba ni mnyaki. Anyway kikubwa uzima, kama waliona hawawezi kuwa pamoja kwa maslahi yao wote wawili ni vyema kutengana kwanza ili kupeana nafasi na kupata wakati wa kila mmoja kujitafakari. Huenda huko mbeleni wakayazungumza na kumaliza tofauti zao
 
Changamoto ni moja Tu mkuu , wanaume ni watu wa kukinai basi, ndo mana tunapigwa limbwata ili tutulie ... Pisi kali nyingi Sana mtaani , ukae na mke umemzalisha na ukiangalia we ndo top Kwa kila kitu kuanzia pesa na Mali na pia pisi kali kitaa zinakuchokoza each minute ..aah inahtaji roho wa Bwana kubaki
 
[emoji23][emoji23][emoji3516][emoji3516] jamani, sio wote wanaweza hayo malimbwata. Ukiamua kuoa funga macho usione pisi zingine za pembeni, hizo sasa ndo huvunja ndoa. Sema wanaume tamaa inawaponza sana, macho yenu hayaridhiki. Kila mkionacho mnakitaka[emoji848]
 
Na mbona anamsue kama yuko commited kwa kazi zake....kuna kale kawimbo kanasema usitumie peeesa kama fimbo mama.....
😂 😂 😂 Wameanzana wenyewe, wacha wamalizane wenyewe, watajiju! 🤣 🤣 🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji3516][emoji3516] jamani, sio wote wanaweza hayo malimbwata. Ukiamua kuoa funga macho usione pisi zingine za pembeni, hizo sasa ndo huvunja ndoa. Sema wanaume tamaa inawaponza sana, macho yenu hayaridhiki. Kila mkionacho mnakitaka[emoji848]
Tatizo uhandsome mpenz kibaya sasa na pesa iwepo, daaah kazi kwel kweli
 
Sana sana, kuna mahali tunakosea. Tunachaguana kienyeji enyeji tu kuingia ndoani. Mungu tumemuweka kando, tunatanguliza mihemko yetu mbele.
Hakika.
Mungu ameacha watu wafwate fahamu zao baada ya kuona hawamfati yeye.

Matokeo Yake ndiyo hii mitifuano.
 
Na mbona anamsue kama yuko commited kwa kazi zake....kuna kale kawimbo kanasema usitumie peeesa kama fimbo mama.....
Wacha amsue tu!
Mwanaume anadai talaka,si hajielewi huyo!
Amnyooshe hivyohivyo till the end.
 
Back
Top Bottom