mpiga domo
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 852
- 1,507
AY wameachana na mke wake siku nyingi sanaaaWatu walituliza vichwa kuoa Ay,MwanaFa,kina Peter Msechu yaani ndoa zao zilioccur naturally hazikuwa za kiki wala nn na wameoa wife material sio hawa wapenda kick
Duh! Mkewe alikuwa bomba sanaAY wameachana na mke wake siku nyingi sanaaa
Si alikuwa dada wa kinyarwanda?Duh! Mkewe alikuwa bomba sana
AY wameachana na mke wake siku nyingi sanaaa
InawezekanaSi alikuwa dada wa kinyarwanda?
Na mbona anamsue kama yuko commited kwa kazi zake....kuna kale kawimbo kanasema usitumie peeesa kama fimbo mama.....Anerlisa yeye amedai sahi ako committed kwa kazi yake, nothing else. π Wadada wana mambo!
Ila twende na ukweli ndoa sa hv ni mtiti haswa
Ila twende na ukweli ndoa sa hv ni mtiti haswa
Changamoto ni moja Tu mkuu , wanaume ni watu wa kukinai basi, ndo mana tunapigwa limbwata ili tutulie ... Pisi kali nyingi Sana mtaani , ukae na mke umemzalisha na ukiangalia we ndo top Kwa kila kitu kuanzia pesa na Mali na pia pisi kali kitaa zinakuchokoza each minute ..aah inahtaji roho wa Bwana kubakiAY sikutarajia. Alioa mtoto wa kinyarwanda kama sikosei, na mama yake pia nadhani anatokea kipande hiyo ila baba ni mnyaki. Anyway kikubwa uzima, kama waliona hawawezi kuwa pamoja kwa maslahi yao wote wawili ni vyema kutengana kwanza ili kupeana nafasi na kupata wakati wa kila mmoja kujitafakari. Huenda huko mbeleni wakayazungumza na kumaliza tofauti zao
Changamoto ni moja Tu mkuu , wanaume ni watu wa kukinai basi, ndo mana tunapigwa limbwata ili tutulie ... Pisi kali nyingi Sana mtaani , ukae na mke umemzalisha na ukiangalia we ndo top Kwa kila kitu kuanzia pesa na Mali na pia pisi kali kitaa zinakuchokoza each minute ..aah inahtaji roho wa Bwana kubaki
π π π Wameanzana wenyewe, wacha wamalizane wenyewe, watajiju! π€£ π€£ π€£Na mbona anamsue kama yuko commited kwa kazi zake....kuna kale kawimbo kanasema usitumie peeesa kama fimbo mama.....
Tatizo uhandsome mpenz kibaya sasa na pesa iwepo, daaah kazi kwel kweli[emoji23][emoji23][emoji3516][emoji3516] jamani, sio wote wanaweza hayo malimbwata. Ukiamua kuoa funga macho usione pisi zingine za pembeni, hizo sasa ndo huvunja ndoa. Sema wanaume tamaa inawaponza sana, macho yenu hayaridhiki. Kila mkionacho mnakitaka[emoji848]
Wanatakaje hawa watoto wa mama? πInawezekana
Hakika.Sana sana, kuna mahali tunakosea. Tunachaguana kienyeji enyeji tu kuingia ndoani. Mungu tumemuweka kando, tunatanguliza mihemko yetu mbele.
Wacha amsue tu!Na mbona anamsue kama yuko commited kwa kazi zake....kuna kale kawimbo kanasema usitumie peeesa kama fimbo mama.....
πWacha amsue tu!
Mwanaume anadai talaka,si hajielewi huyo!
Amnyooshe hivyohivyo till the end.
...ndungai, LemutuzJob, Lusinde, Mkamia etc
B alikua analelewa na A. Kutahamaki B mchicha!Ben pol arudi kwa mama mtoto wake sasa
Yule dada anaonekana hana mambo mengi kabisa