Hatimaye Anerlisa asaini Hati ya Talaka iliyowasilishwa na Ben Pol Mahakamani

Hatimaye Anerlisa asaini Hati ya Talaka iliyowasilishwa na Ben Pol Mahakamani

Ukipiga mashine vizuri ata ukimtemea makoozi hadharani hakuachi, kuna kitu huyo boya hakiwezi na anakwama
Demu mwenyewe wizi mtupu👇👇

1619636957642.png
 
Dogo Ben Pol, najua utasoma hapa. Kwenye maisha hakuna kisicho na muongozo sahihi. Ukiamua kuisikiliza akili yako pekee ujue utaishia akili yako itapoishia.

Kama ndoa ulifunga Kanisa Katoliki, uliloambiwa na Kanisa ndio UKWELI! usitafute ukweli mwingine.

Ukweli huwa ni mmoja tu! Asikiaye hili na afahamu.
 
Back
Top Bottom