Hatimaye Anerlisa asaini Hati ya Talaka iliyowasilishwa na Ben Pol Mahakamani

Hatimaye Anerlisa asaini Hati ya Talaka iliyowasilishwa na Ben Pol Mahakamani

Yule ndio mjinga wa mwisho alipropose kwa demu halafu linalia lenyewe fala kweli. Kutwa kucha kumsifia mke wake watu wanamuangalia tu. Nahisi kuna watu wamemshika sikio wamemwambia kausha watu washapiga sana kwanza unampa promo wajanja watakubebea fasta.
Mc pili pili nae ni mgogo?
 
Kabisa.
Sasa MTU anafunga ndoa ya kikristo alafu anakwenda kubadilisha dini na kuwa muislam.baada ya kubadilisha dini hata msikitini kwenyewe sijui kama anaenda.
Huyo ana mipango yake ya kumtapeli huyo dada Mali zake

Kuna watu walimsifia Kweli alipobadili dini,sisi tulisema huyo amechanganyikiwa,wakatushambulia kweli humu ndani.
 
Ben pol arudi kwa mama mtoto wake sasa

Yule dada anaonekana hana mambo mengi kabisa

Yani amzalishe, amuache, aende akafunge ndoa na mwanamke mwingine, yamshinde huko kwenye ndoa yake, aombe talaka, apewe halafu amrudie mzazi mwenzie [emoji848][emoji848][emoji848]. Labda kama huyo mzazi mwenzie yuko desperate, ila kama ni dada anayejielewa hawezi kukubali upuuzi na dharau za hivyo
 
Back
Top Bottom