Hatimaye Anerlisa asaini Hati ya Talaka iliyowasilishwa na Ben Pol Mahakamani

Dogo Ben Pol, najua utasoma hapa. Kwenye maisha hakuna kisicho na muongozo sahihi. Ukiamua kuisikiliza akili yako pekee ujue utaishia akili yako itapoishia.

Kama ndoa ulifunga Kanisa Katoliki, uliloambiwa na Kanisa ndio UKWELI! usitafute ukweli mwingine.

Ukweli huwa ni mmoja tu! Asikiaye hili na afahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…