Hatimaye Anerlisa asaini Hati ya Talaka iliyowasilishwa na Ben Pol Mahakamani

Mc pili pili nae ni mgogo?
 
Kabisa.
Sasa MTU anafunga ndoa ya kikristo alafu anakwenda kubadilisha dini na kuwa muislam.baada ya kubadilisha dini hata msikitini kwenyewe sijui kama anaenda.
Huyo ana mipango yake ya kumtapeli huyo dada Mali zake

Kuna watu walimsifia Kweli alipobadili dini,sisi tulisema huyo amechanganyikiwa,wakatushambulia kweli humu ndani.
 
Ben pol arudi kwa mama mtoto wake sasa

Yule dada anaonekana hana mambo mengi kabisa

Yani amzalishe, amuache, aende akafunge ndoa na mwanamke mwingine, yamshinde huko kwenye ndoa yake, aombe talaka, apewe halafu amrudie mzazi mwenzie [emoji848][emoji848][emoji848]. Labda kama huyo mzazi mwenzie yuko desperate, ila kama ni dada anayejielewa hawezi kukubali upuuzi na dharau za hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…