Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Ukweli mtupu,Mwanaume hanaga unafki kwenye mapenzi...Hata ukiwa na pesa vipi roho yake kama haijapenda basi haijapenda atalazimisha ila ni kwa muda flani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli mtupu,Mwanaume hanaga unafki kwenye mapenzi...Hata ukiwa na pesa vipi roho yake kama haijapenda basi haijapenda atalazimisha ila ni kwa muda flani.
Mkamia ni Mrangi sio mgogo
Mkikubaliana mnaweza ishia kwa wakili tuHizi sheria za TZ bwana mpaka mahakamani? hizi biashara zinatakiwa kuishia kwa wakili tu. hakuna haja ya ndoa za kupotezeana muda namna hii.
Bora muachane tu msilazimishe mamboMahusiano yana mambo mengi sana
Kuvunja mahusiano ya ndoa sio maamuzi madogo na yanaumiza sanaaaa... na ukiona imefikia hapo hiyo ndoa ilishakufaga na upendo wake wote
Inauma ila kwao Ben na Ane wamekua wakweli kwa nafsi zao na kuchagua amani ya mioyo yao
Mungu awape watoto wetu roho ya kuomba na kumshirikisha Mungu kwenye kuchagua wenza wao
Bora muachane tu msilazimishe mambo
Ova
Salama tu mama d aka mama la mamaBraza habari ya asubuhi
Watu walituliza vichwa kuoa Ay,MwanaFa,kina Peter Msechu yaani ndoa zao zilioccur naturally hazikuwa za kiki wala nn na wameoa wife material sio hawa wapenda kickBen pol arudi kwa mama mtoto wake sasa
Yule dada anaonekana hana mambo mengi kabisa
🤣🤣 Kwamba mtangaza maji bure , si haba labda kapata hata billion moja Kwa mda wote wa mahusiano , si unajua changu chako , chako changuKwa mtizamo wangu nilijua tu haiwezi kudumu kwanza mwanamke alimzidi mno kipato Bernard Paulo,Anerlisa nyota yake haikuwa iking'arisha ile ya Bernard,badala yake bernadi akageuka mtangaza Maji ya Anerlisa for free.. Hata kimuziki aliporomoka sana...hapa ndipo Ugenious wa Diamond ulipo kazi ni kazi mapenzi ni mapenzi ungekuta ni chibu angekwambia kabisa Mimi ni Brand,kwahiyo kama unataka nitangaze ongea na management yako...na hakika Bernadi alikuwa halipwi kutangaza hayo Maji,pili kwa nature ya kazi ya anerlisa mizizi yake na kampuni vilikuwa Kenya asingeweza kujishusha kuhamia kwa Mario huku Tz akubali biashara ikufe sasa angemlisha nn Mario? Bernad naye angehamia Kenya ingekuwa kaolewa .....yaan wangebaki tu na mahusiano ya kusuguana ukimuhitaji mwenzako unaenda,MNA time mnaenda Serengeti kula bata likiisha kila MTU na hamsini zake ila mahusiano ya ndoa ilikuwa haiwezekaniki....
Sheria haisemi hivyo ndio tatizo, hata kama mna makubaliano yaliyosajiliwa, mkienda mahakamani sheria mama ndio itatumika kufanya maamuzi, china walikua na hizo sheria wakazifutilia mbali, kwani waliona zinaleta uwizi na kudumaza uchumi wa nchi, kwani mtu akishakua na pesa predators wanatumia ndoa kuiba.Mkikubaliana mnaweza ishia kwa wakili tu
Lakini lazima makubaliano yenu hayo,yafike
Mahakamani na inakuwa registered na mahakama
Ova
Mkuu wanawake wa Kenya unawajua au unawaskia? Hakuna kitu kashenzi kametuaibisha🤣🤣 Kwamba mtangaza maji bure , si haba labda kapata hata billion moja Kwa mda wote wa mahusiano , si unajua changu chako , chwako changu
Huyu nae si ndo alivalisha pete mwanamke badala mwanamke awe surprised akawa yeye mpaka akatoa machozi na magoti alipiga?Mkuu hata Mc Pilipili?
Kwa hiyo unataka kusema Anerlisa ni shemale ama?! Ila wabongo siwawezi 🤣🤣🤣Uyo Anerlisa anapenda wanaume tata au yeye ndo anaewabandua nini!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna sababu waliitwa wagogo. Neno gogo ndio msingi wa jina....Mimi siyo mbaguzi.
Ila kiukweli sijawahi kuona mgogo mwenye akili ya maana.
Uenda ikawa hivyo maana type za majamaa anaotembea nao si unazionaKwa hiyo unataka kusema Anerlisa ni shemale ama?! Ila wabongo siwawezi 🤣🤣🤣
Duh amejitahidi sana. Kupungua kwa kiwango hicho si kazi ndogo aisee. Huyu mwanamke anaonekana ni mtu wa malengo.
We ku.ma hahahahahah🤓🤓🤓🤓🤣😅😅😂😂😂 nmecheka kingese! Ila kama Ommy alimtia Anerlisa atakuwa alizingua sana yani!Vitonga vyingine vina miba.
😂😂😂😂😂 wagogo ni special edition ya viumbe! Vioja vyao ni vya kukata na shoka akiongozwa na baba yake mkubwa Mh. SubwooferYaani huyu ndugu yake NDUGAI ametudhalilishaaa[emoji17][emoji17][emoji17].
Mwanaume unadai vipi talaka?
Kumbe we ni Tonya Time baebe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo sisi wagogo hatuna akili?