mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
Baada ya kipindi kireeeefuuuuu cha kukalia usukani hatimae Arsenal wameshushwa leo na Man City.
Je, ndio basi tena au watarudi?
Je, ndio basi tena au watarudi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lkn ana mchezo mmoja mkononiBaada ya kipindi kireeeefuuuuu cha kukalia usukani hatimae arsenal wameshushwa leo na man city, je ndio basi tena au watarudi?
Kwa liver, Chelsea na Man city hizi ni lazima tufingwe zote ..Lkn ana mchezo mmoja mkononi
Utakuwa dikteta bila shakaHii nayo ni habari? Utuache
Hapana mkuu, mchezo wa kuwatisha ni man city ila hizo zingine mnayo nafasi kubwa ya kushinda, Arsenal ya moto msimu huuKwa liver ,Chelsea na Man city hizi ni lazima tufingwe zote ..
Everton haikuwa kweny red flags ya kuipoteza ile game ila hatuna pumzi tenaHapana mkuu, mchezo wa kuwatisha ni man city ila hizo zingine mnayo nafasi kubwa ya kushinda, Arsenal ya moto msimu huu
Leo performance ilikuaje!?..Everton walipak basi...city nae yatamkuta tuEverton haikuwa kweny red flags ya kuipoteza ile game ila hatuna pumzi tena
Mzee wachezaji washakata motoLeo performance ilikuaje!?..Everton walipak basi...city nae yatamkuta tu
Kuna ujinga mwingi sana huwa unafanywa na Arsenal,sijui huwa mpango wa timu au ligi ya uingereza inafanya,angalia trend yake,mechi mbili za nyuma zote amepoteza na hii nilikuwa nina uhakika atafungwa,hii ni kawaida sana kwa Arsenal,ni kama kuna kitu kinapangwa ili kuzipa timu flani ushindi au kutengeneza mazingira yawe magumu kwenye kupata ushindi....Kuna ujinga flani arsenal wamekuanao kwa miongo mingi sana. Huo umewagharimu leo
Huu mchezo wa kugonga gonga mpira hata sehemu ya kufunga, unakosesha magoli mengi sana. Shaka alikua na goli zuri la kusawazisha mapema
Mbaya zaidi kugongagonga golini kwetu, tumeangalia mpira roho juu mpaka mpira unaisha
Basi tu naipenda arsenal ntafanyaje
Uko sahihi,hii Arsenal iko kibiashara zaidi ni si kutafuta ushindi...Kwa liver ,Chelsea na Man city hizi ni lazima tufingwe zote ..
Hasa hasa city [emoji170][emoji170]Kwa liver ,Chelsea na Man city hizi ni lazima tufingwe zote ..
Unaona eeeh gundu tu kwaoNafkiri jorginho kapelekwa kwa mission maalum, inabidi wawe macho sana maapandikizi