Hatimaye Arsenal yashuka mpaka nafasi ya pili msimamo EPL

Hatimaye Arsenal yashuka mpaka nafasi ya pili msimamo EPL

Umiruhudu man city wakae juu pale kuwandoa tena huwa ni kazi sana.

wakishinda kiporo arsenal wanarudi juu. hofu yangu tu gape la point tatu ni dogo mno. yaani ukitereza tu anakaa tena Yeye.
Sahau sahau sahau sahau


Arsenyeto kurudi bro sahau
 
Hapana mkuu, mchezo wa kuwatisha ni man city ila hizo zingine mnayo nafasi kubwa ya kushinda, Arsenal ya moto msimu huu
We jitoe ufahamu bila kujua kwamb sasa hivi Arsenal ipo kwenye pressure kubwa na kiporo chao ili tu arudi kileleni so chochote kinaweza kutokea either kwa kupgwa kipigo kikubwa au ku sare ko mjiandae kwa lolote
 
We jitoe ufahamu bila kujua kwamb sasa hivi Arsenal ipo kwenye pressure kubwa na kiporo chao ili tu arudi kileleni so chochote kinaweza kutokea either kwa kupgwa kipigo kikubwa au ku sare ko mjiandae kwa lolote
Mimi siyo mfuasi wa Arsenal chief hayo ni maoni yangu tuu
 
Umruhusu man city wakae juu pale kuwandoa tena huwa ni kazi sana.

wakishinda kiporo arsenal wanarudi juu. hofu yangu tu gape la point tatu ni dogo mno. yaani ukiteleza tu anakaa tena Yeye.
Hivi city kacheza na liver,man, Chelsea!?.. atakutana na Everton ya dyche na wolves
 
Kwa Arsenal kinachoweza kukupa furaha labda ni uzuri wa jezi zao ,,hivyo vingine waachie wao wenyewe!!!
 
Niliwashangaa walioamini ubingwa kwa arsenal japo ligi inaendelea.
 
Haters,, haters[emoji16][emoji16],, msimu huu kuna shabiki wa timu flan flan atajinyonga apo mwezi may, baada ya arsenal kuchukua kombe,,

Punguzeni stress ni zamu yetu sasa,, kutesa kwa zamu.
 
Game na aston villa kesho asipopigwa basi sare halafu hapo bado hajaenda etihad.. arsenal anamaliza ligi nafasi ya 3 au ya 4
jini kaludi na mganga, hali mbaya sana,, tusubili mazishi jmosi

*coyg[emoji869]
 
Back
Top Bottom