Hatimaye B2K Mnyama amejipata!

Hatimaye B2K Mnyama amejipata!

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
14,834
Reaction score
32,522
Kuna huyu dogo toka Makambako, huw nasikia ni maarufu sana huko Iringa. Mimi siku zote ni shabiki wa muziki mzuri, kuna kipindi nilijaribu kumsikiliza ila sikuambulia chochote!

Ila hivi majuzi kaja na hii ngoma inaitwa "Lala", hakika humu kaupiga mwingi sana. Hii ndo bongo fleva halisi, ujue kutengeneza hit katikati ya huu upepo wa Amapiano sio kazi ndogo.

Tumpe sikio huyu kijana kawakilisha vyema, kuanzia melody, uhandishi mpka beat!



Screenshot_2023-11-09-20-25-34-69_0438eb925998df20b3482ec25499d226.jpg
 
Kuna huyu dogo toka Makambako, huw nasikia ni maarufu sana huko Iringa. Mimi siku zote ni shabiki wa muziki mzuri, kuna kipindi nilijaribu kumsikiliza ila sikuambulia chochote....
Hakika, Janja kaupiga mwingi mimi huwa napenda kumsikiliza japo hapo kati alitoa boko nilivumilia.
 
Sijawahi kumkubali ila kwenye hii ngoma ameua sana,
Hata huyo mwingine alieshirikishwa nae kafunika
 
Back
Top Bottom