Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
Kuna huyu dogo toka Makambako, huw nasikia ni maarufu sana huko Iringa. Mimi siku zote ni shabiki wa muziki mzuri, kuna kipindi nilijaribu kumsikiliza ila sikuambulia chochote!
Ila hivi majuzi kaja na hii ngoma inaitwa "Lala", hakika humu kaupiga mwingi sana. Hii ndo bongo fleva halisi, ujue kutengeneza hit katikati ya huu upepo wa Amapiano sio kazi ndogo.
Tumpe sikio huyu kijana kawakilisha vyema, kuanzia melody, uhandishi mpka beat!