Hatimaye baadhi ya wanaojisalimisha, wamegunduliwa waliohusika kwenye shambulio la Oktoba 7

Hatimaye baadhi ya wanaojisalimisha, wamegunduliwa waliohusika kwenye shambulio la Oktoba 7

nchi yenyewe wanaruhusu rainbow, afu kuna wanaume kabisa wanatembezwa wamevaa chupi tu. hamas mwaka huu watasema yote. inasemekana wayahudi ukiingia kwenye anga zao ni wakatili kinyama.
Hamas wameingia cha kike.Ni bora wasingejisalimisha wakawahi kula mbususu 72.Kwa ukatili wa myahudi watasema tuu
 
Bwana utam manake wewe ni mtam unatafunwa
Mabwana zenu hawa hapa wa Israhell Diapers Army (IDF) wameweka nadhiri ya kwenda kufukunyuana matope kwenye ufukwe wa Gaza, ila wanaume wa shoka vidume vya Hamas wamewaambia hawawezi kuinajisi Ardhi takatifu ya Gaza ingali wao bado wako hai.
1702369828481.jpg
1702369905976.jpg
1702367068300.jpg
 
Maustadhi wamenikimbia kule na kuhamia kwenye mtanange wa Gaza, imebidi niwafuate huko huko....ila Urusi bado tunasubiri msafara wa kuiteka Kyiv.

[emoji38][emoji38][emoji38] maustazi wamepoteana hapo Gaza. Myahudi sio mtu mzuri kabisa
 
Subiri dawa iwaingie, Sio hamasi tu Hadi nzi wao watafutwa.
Hata ukitukana haisaidii. Jiulize wale wanaowashikisha vijana ukuta kule mchambawima ni Israel?
Nilipotukana wapi naomba unisaidie tafadhali
Kama kusema ukweli kosa basi ntakua sisemi tena
 
Sijazoea kuona ukichukia, huu mtanange wa Gaza umekugusa pabaya....huwa mnachekesha sana yaani mnalazimisha ndugu na waarabu, na walivyo na roho ngumu, hutesa sana Waafrika, kuanzia enzi za tumwa wakati walikua wanalazimishia dini yao.
Pole kijana
Sijawahi kuchukia katika sosho midia yaani nichukizwe na nini
Kwani sio kweli bunge la israhell halijapitisha sheria za LGBTq+
Wametangaza mpaka wajane waloolewa na me wenzao wapewe pesa za eda halaf mkiambiwa mnakasirika
Poleni kama mmeumia
 
Ulijuaje LGBTq+ kama siyo mhusika, kama ni mabaya kwako kwa nini uyafahamu? Ofcurse unayaoenda
Pole kijana unadhani hii karne ya 18
Ngojea nikuongezee pole nyengine kijana kwakuumizwa na ukweli wangu
 
Pole kijana
Sijawahi kuchukia katika sosho midia yaani nichukizwe na nini
Kwani sio kweli bunge la israhell halijapitisha sheria za LGBTq+
Wametangaza mpaka wajane waloolewa na me wenzao wapewe pesa za eda halaf mkiambiwa mnakasirika
Poleni kama mmeumia

Hehehe niliona kwa mara ya kwanza unatukana kwa kutumia maneno kama mbwa, aisei pole lakini, kuna hii huku ndio itakupa hasira zaidi LIVE - Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS
 
Hayo maneno hua nayatumia sana kwasababu sio uongo wasayuni ni bora umbwa
Hio haifunguki sidhanii kama nilishawahi kuchangia huki hata neno moja

Hehehe yaani ukitukana hivyo ndio najua imeingia penyewe...
 
Sijaelewa kwanini Israel imetangaza hawa, walipaswa wakijisalimisha wachukuliwe kimya kimya wapelekwe sehemu mafichoni, wafanyiziwe huko mambo ya hovyo kwa muda
Nafikiri nia yao ni kuujulisha ulimwengu kuwa wanachokisema na kutenda ni sahihi
 
Back
Top Bottom