Touareg na Range Rover yanapokeana kuunguaKuna BMW 3 series, 1 series, X3 na X1 nyingi sana siku hizi.
Pia Dualis nahisi ni upepo itapita.
Benz bado chache barabarani.
Kuungua kivipTouareg na Range Rover yanapokeana kuungua
NomaGari zinaenda na fashion na mihemko ya rika flani.
Enzi nipo mdogo ilikua kila kijana alikua ana ndoto za kumiliki toyota balloon na starlet, yani ukisukuma hizo ndinga ulikua unavimba hasa. Pisi zote za Magomeni kwa macheni, club bilcanas, diamond jubelee, mpaka bar za mitaani kule sinza lion na vatican, bahama mama, hawaii unazila bila kutumia nguvu. Lakini sasa hivi hamna kitu!!!
Kama ilivyotabiriwa gari tajwa zimepotea kabisa barabaran na Sasa vijana Ni mwendo wa RUMION, SUBARU na CROWN. Kidumu Chama cha Mapinduzi Kwa Neema hii ya fursa Kwa wote. Vijana tupewe nini Tena?
Si mlitoa uzi hapa hapa juzi kuwa bmw zimetelekezwa gereji?Watu hawaogopi tena BMW sikuhizi zipo nyingi Sana barabaran hasa BMW 320i
Haha E90 ile Mil 15 unapata kutoka JP.Watu hawaogopi tena BMW sikuhizi zipo nyingi Sana barabaran hasa BMW 320i
Nmetoka jana kulivua hilo jini dah nabak zangu toyota jpo niliyemuuzia kajiona mjanja kunivuruga bei ila kma maisha yke ndo yale nahakika miez 5 hatoboi nayoKuna Alphard zimejaa mjini mpaka basi.
BMW X1,3 ndio usiseme
Ukiwasikiliza Masikini unadhani utapiga hatua,Si mlitoa uzi hapa hapa juzi kuwa bmw zimetelekezwa gereji?
Tatizo sugu lilikuwa ni nini mkuu?Nmetoka jana kulivua hilo jini dah nabak zangu toyota jpo niliyemuuzia kajiona mjanja kunivuruga bei ila kma maisha yke ndo yale nahakika miez 5 hatoboi nayo