Hatimaye BREVIS na Altezza zimepotea barabarani

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Kama ilivyotabiriwa gari tajwa zimepotea kabisa barabaran na Sasa vijana Ni mwendo wa RUMION, SUBARU na CROWN. Kidumu Chama cha Mapinduzi Kwa Neema hii ya fursa Kwa wote. Vijana tupewe nini Tena?
 
Gari zinaenda na fashion na mihemko ya rika flani.

Enzi nipo mdogo ilikua kila kijana alikua ana ndoto za kumiliki toyota balloon na starlet, yani ukisukuma hizo ndinga ulikua unavimba hasa. Pisi zote za Magomeni kwa macheni, club bilcanas, diamond jubelee, mpaka bar za mitaani kule sinza lion na vatican, bahama mama, hawaii unazila bila kutumia nguvu. Lakini sasa hivi hamna kitu!!!
 
Noma
 
Back
Top Bottom