BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Siku IST zikiwa chache barabarani basi kizazi chetu kitakuwa kimefutika.Kuna BMW 3 series, 1 series, X3 na X1 nyingi sana siku hizi.
Pia Dualis nahisi ni upepo itapita.
Benz bado chache barabarani.
Yeah kuna RVR nazitabilia mema. 2024 zitajazana sana.mbali na kupondwa sana na wadau Dualis zimeongezeka sana aiseee
Yeah kuna RVR nazitabilia mema. 2024 zitajazana sana.
Point yake kuziona Tezza namba E ngumu, nyingi C na D za mwanzoni.Labda mtoa mada utakua chongo,tezza ndio kama zimerudi mtaani,juzi kati kwenye car meeting kule coco beach 80% ya gari zilikua altezza
Ni kweli kwa sasa mtu ajipinde kuagiza altezza,kibongo bongo zimeshuka thamani ila ukiagiza inapitwa kidogo tu na crown bei,halafu TZ imepitwa mbali sana na crown kwa thamaniPoint yake kuziona Tezza namba E ngumu, nyingi C na D za mwanzoni.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Jini katoka Mganga hoiNmetoka jana kulivua hilo jini dah nabak zangu toyota jpo niliyemuuzia kajiona mjanja kunivuruga bei ila kma maisha yke ndo yale nahakika miez 5 hatoboi nayo
Hizo Tezza refurbs za Jow Pimps 🤣🤣🤣 ndio unasema zimerudi barabarani? Nioneshe Altezza namba E hata kumi basi ili nikuelewe.Labda mtoa mada utakua chongo,tezza ndio kama zimerudi mtaani,juzi kati kwenye car meeting kule coco beach 80% ya gari zilikua altezza
RVR generation ya 1990s nakumbuka mwaka 2002-2004 watu walizinunua kwa fujo sana ila kumbe zilikuwa gari vimeo sana. Zilijifia zikapotea sokoni ghafla mjapan ikabidi atulie kuangalia alifeli wapi. Zina historia mbaya kwa wakongwe wa Magari.Matajiri bado hawajazishtukia mitsubishi RVR gari poa sana SUV inayokuoffer kila kitu
hata huu huuMtu afungue uzi tudiscuss magari.⁰
Ubadilishwe title sasa.hata huu huu
Ni ushamba,kukaririshana na kuigana kwetu ndio kunafanya baadhi ya gari zishuke thamani,leo huko mbele altezza ina bei kuliko crown ila hapa kwetu altezza ni gari iliyotolewa thamani toka inaingia tu sokoni,so resale ya altezza kwa TZ iko chini sana zaidi ya hizo kina crown na 99% yetu uwa ananunua gari baada ya muda aiuze akifikiria pesa atakayouza hiyo altezza ndio anaamua bora anunue ambazo resale iko vizuriHizo Tezza refurbs za Jow Pimps 🤣🤣🤣 ndio unasema zimerudi barabarani? Nioneshe Altezza namba E hata kumi basi ili nikuelewe.
Team Tezza bye bye
Ushazicheki mtandaoni zenye injini ya 3s zinacheza kwenye bei gani hivi sasa? Ni heri tu kuagiza Crown. Na ikiwa manual ndo kabisaaa bei yake unapata crown grs200 series.Hizo Tezza refurbs za Jow Pimps 🤣🤣🤣 ndio unasema zimerudi barabarani? Nioneshe Altezza namba E hata kumi basi ili nikuelewe.
Umeshamaliza masomo ya utabiri?KABLA ya Christmas, Kuna watu watauza sana gari zao.