Hatimaye BREVIS na Altezza zimepotea barabarani

Hatimaye BREVIS na Altezza zimepotea barabarani

Labda mtoa mada utakua chongo,tezza ndio kama zimerudi mtaani,juzi kati kwenye car meeting kule coco beach 80% ya gari zilikua altezza
 

Attachments

  • -807056035.mp4
    1.4 MB
Matajiri bado hawajazishtukia mitsubishi RVR gari poa sana SUV inayokuoffer kila kitu
RVR generation ya 1990s nakumbuka mwaka 2002-2004 watu walizinunua kwa fujo sana ila kumbe zilikuwa gari vimeo sana. Zilijifia zikapotea sokoni ghafla mjapan ikabidi atulie kuangalia alifeli wapi. Zina historia mbaya kwa wakongwe wa Magari.
 
Hizo Tezza refurbs za Jow Pimps 🤣🤣🤣 ndio unasema zimerudi barabarani? Nioneshe Altezza namba E hata kumi basi ili nikuelewe.
Ni ushamba,kukaririshana na kuigana kwetu ndio kunafanya baadhi ya gari zishuke thamani,leo huko mbele altezza ina bei kuliko crown ila hapa kwetu altezza ni gari iliyotolewa thamani toka inaingia tu sokoni,so resale ya altezza kwa TZ iko chini sana zaidi ya hizo kina crown na 99% yetu uwa ananunua gari baada ya muda aiuze akifikiria pesa atakayouza hiyo altezza ndio anaamua bora anunue ambazo resale iko vizuri
Screenshot_20230911-224304_Chrome.jpg
Screenshot_20230911-224148_Chrome.jpg
 
Hizo Tezza refurbs za Jow Pimps 🤣🤣🤣 ndio unasema zimerudi barabarani? Nioneshe Altezza namba E hata kumi basi ili nikuelewe.
Ushazicheki mtandaoni zenye injini ya 3s zinacheza kwenye bei gani hivi sasa? Ni heri tu kuagiza Crown. Na ikiwa manual ndo kabisaaa bei yake unapata crown grs200 series.
 
Back
Top Bottom