Hatimaye BREVIS na Altezza zimepotea barabarani

RVR generation ya 1990s nakumbuka mwaka 2002-2004 watu walizinunua kwa fujo sana ila kumbe zilikuwa gari vimeo sana. Zilijifia zikapotea sokoni ghafla mjapan ikabidi atulie kuangalia alifeli wapi. Zina historia mbaya kwa wakongwe wa Magari.
Wanajeshi walizivamia kama wanavyovyamia Rumion kwa sasa.
 
[emoji28][emoji58][emoji52][emoji112][emoji2]
Kakuvurugaje bei mzeeya , ?
Nmetoka jana kulivua hilo jini dah nabak zangu toyota jpo niliyemuuzia kajiona mjanja kunivuruga bei ila kma maisha yke ndo yale nahakika miez 5 hatoboi nayo
 
Hiyo CIF COST INAJUMUISHA NA USHURU/KODI YA TRA ?
 
Tofauti ya PRICE NA TOTAL PRICE ni nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…