Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,903
- 1,360
Naombeni kuuliza.hivi wanapaswa kuwa na wanachama wangapi ili wapewe usajili wa kudumu?
Kipya kinyemi.........Chadema mko wapi wenzenu wa ccj ambao ni wachanga wanagombewa na wananchi nyie mnagombana tuu,upuuzi!
Muabhi alisema kati ya idadi ya watu waliogawiwa kadi, 800 walijiunga na CCJ juzi na 1,600 walijiunga jana. "Ni wengi sana wanaokuja kama unavyoona hapa. Wengine tumewakataa, tuna wasiwasi nao. Sababu kuna watu wanaweza kutumika kutuharibia. Ni lazima tuwafahamu. Kwa mfano, mtu anakuja hapa hana hata kadi ya mpiga kura, sasa hapo tutampokeaje katika chama?" alihoji Muabhi.
kweli hawa jamaa ni watu makini hadi kuweza kujiunga nao, bado napata shida juu ya hilo labda hadi hapo hao vigogo wanaodaiwa wapo watakapo jitokeza isije kuwa ni chama cha vigogo wanaolalamikiwa kuwa mafisadi wameamua kuanzisha chama
nimesema tatizo la Tanzannia ni uongozi; CCJ watawala watu wa kawaida kile ambacho wamenyimwa na wengine..
nimesema tatizo la Tanzannia ni uongozi; CCJ watawala watu wa kawaida kile ambacho wamenyimwa na wengine..