Hatimaye CCM, kwa kuipakata DP world, yathibitisha ni genge la ulaji lisilo na uadilifu wala uzalendo!

Mag3

Platinum Member
Joined
May 31, 2008
Posts
13,413
Reaction score
23,592
CCM yaipakata D world!.jpeg

Kama ni ushauri umetolewa, kama ni tahadhari zimetolewa, kama ni kelele zimepigwa na kama ni mifano imetolewa lakini harakati zote hizo zaelekea kupuuzwa!

Mtu unabaki tu kujiuliza hivi hili zimwi CCM linang'ang'ania madaraka kwa maslahi ya nani? Djibouti walijidanganya hivi hivi lakini, hebu wasikilize baada ya miaka kadhaa...

Nawaomba Watanzania tuisikilize video kwa makini kilichotokea baada ya Djibouti kuingia katika mkataba wa bandari yao na DP world ya Dubai.

Pili nawaomba Watanganyika wenye uchungu na nchi yao katu tusiiruhusu CCM kuturudisha utumwani kama tunavyoona kwenye picha hii hapa chini.

Utumwani.jpeg
 
Kweli

View attachment 2674847

CCM ndio tatizo.
 
Nadhani tukubaliane kuwa iwapo hawa CCM watakaza shingo na kuendeleza jambo hili basi tuwaambie wakitoka madarakani wote walio husika tutawashtaki kwa UHAINI NA UHUJUMU UCHUMI tena mahakama ya kijeshi.
Kama watakuwa wamekimbia nchi kwa pesa za wizi huo tutawasaka kama walivyo sakwa Getsapo police wa Hitler.
 
Halafu hebu fikiria hili...pamoja na huu mkataba huu wa ajabu, bado kuna mikataba lukuki iliyosainiwa huko huko kwa Waarabu! Kwa hakika adui wa taifa hili ni CCM, period!
 
Tatizo siyo CCM

Tatizo siyo CCM, Bali tatizo ni Ujinga Mkuu walionao wananchi wenyewe na CCM wanatumia huo ujinga wa wananchi kama daraja la kuweza kufikia malengo yao. Siku Wananchi wenyewe wakipata akili nzuri na kukataa katakata haya mambo ya hovyo wanayofanyiwa, basi watendaji wa hayo mambo ya hovyo hawatakuwa na namna nyingine mbadala ya kufanya zaidi ya kutii matakwa ya wananchi walio wengi.
"The right can not be given as a gift by the oppressor, it must be demanded by the oppressed".
 
Djibouti walijidanganya hivi hivi lakini, hebu wasikilize baada ya miaka kadhaa...

Naona umesahau kuwajulisha Watanzania kuwa DP World. Wameshinda mlolongo wa Kesi zote za Djibouti. Kuanzia. Mwaka. You 2014 Jisomee :

Tuwekee basi na kesi ya DP World na Uingereza.

Vipi kesi ya Tanzania na TICTS?

Masalimie Karamagi.
Halafu hebu fikiria hili...pamoja na huu mkataba huu wa ajabu, bado kuna mikataba lukuki iliyosainiwa huko huko kwa Waarabu! Kwa hakika adui wa taifa hili ni CCM, period!
 
Hapa mleta mada unatumia nguvu zote kufanya spinning.

DP World wanakukera nini?

Bandari ya Berbera Djibouti ambayo unaiongelea mzigo wake 90% au zaidi ni wa Ethiopia.

Halafu hukuelezea kuwa Djibouti ilikuwa ina tatizo na DP World Djibouti ambayo inamilikiwa na wote, Serikali ya Djibouti, Serikali ya Ethiopia na Serikali ya Dubai imewekeza kupitia DP World Djibouti.

Kwanini unakuwa spin doctor?

Nakukumbukamijadala ya historia ya Mohamed Said, ulikuwa unakuja na ID tatu tatu unaongea mwenyewe unajijibu mwenyewe lakini ukagaragazwa vibaya sana na Mohamed Said, mpaka ukaahidi kutunga kitabu kuja kupinga kitabu cha #Mohamed Said. Mpaka leo tunakungoja upo kimya.
Sasa umeibuka na uongo wa kuwatungia DP World kuhusu Djibouti.

. Tuambie DP World ipo Djibouti haipo? Wana ubia na serikali ya Djibouti na Serikali ya Ethiopia hawana?

Nani ambae ameamriwa na mahakama za Kimataifa awalipe wabia wenzake?

Halafu jitambulishe basi tuwaambie DP World ukawagaragaze mahakamani kwa defamation.

Sisi tunakufahamu mtu mfupi.

Kama kweli unayoyaandika ni kweli haujafanya spinning na ni kidume unaejiamini si ujitambulishe Kama walivyofanya wengine?

Nnakuahidi kwa "defamation" tutegemee yaliyomkumba msiba.

Waarabu hawa huwa hawapigwi la kulia wakageuza na la Kushoto. kisasi kwao haki na pesa za kuendesha kesi wanazo, hata ukiwa Marekani.

Waarabu wana msemo wao wanasema "cheza hata mbupu zao lakini usijaribu kucheza na jina lao".

Haya kidume endelea kujiachia, yetu macho na masikio.

Nakumbuka tulimuasa msiba hapa hapa JF akatuona wajinga. Sasa nasikia msiba ana msiba mwingine mpyaaa.

Kazi iendelee.
 
Nadhani tukubaliane kuwa iwapo hawa CCM watakaza shingo na kuendeleza jambo hili basi tuwaambie wakitoka madarakani wote walio husika tutawashtaki kwa UHAINI NA UHUJUMU UCHUMI tena mahakama ya kijeshi.
Kama watakuwa wamekimbia nchi kwa pesa za wizi huo tutawasaka kama walivyo sakwa Getsapo police wa Hitler.
Mkuu kwa namna Serikali inavyoendeshwa na Chama tawala, CCM haiwezi kuondoka madarakani kabisa. Usemi wa Katibu Mkuu wa CCM na baadaye Katibu Kiongozi alisha sema kuwa "Chama kilichopo madarakani ni lazima kitumie "Dola kubaki madarakani.
Ili CCM ishindwe kwenye Uchaguzi; mosi, Rais wa Nchi asiwe Mwenyekiti wa Chama kinacho tawala nchi; 2. Kuwe na wagombea huru (wagombea wasio na Chama cha Siasa) 3. Vyama vya Siasa ambavyo hazitakuwa na mwakilishi atokanaye na Uchaguzi Mkuu Serikali za Mitaa na Uchaguzi kwa miaka mitatu mfululizo; basi Chama hicho kifutwe kuwa Chama cha Siasa. 4. Kuwepo na Tume Huru ya Uchaguzi. 5. Matokeo ya Uchaguzi wa ngazi zote yanaweza kupingwa Mahakani. 6. Mahakama iwe na "Task Force huru " kwa ajili ya kesi za Uchaguzi. 7. Sifa ya kugombea uwakilishi/Uongozi wa Wananchi ya " kujua kusoma na kuandika" ifutwe na sifa za elimu zikiambatana na uzoefu ziwekwe kwa kila ngazi ya nafasi husika.
Kama haya yakitekelezwa, basi CCM itaondoka kwenye kuisimamia Serikali iliyopo madarakani.
 
Kama ni ushauri umetolewa, kama ni tahadhari zimetolewa, kama ni kelele zimepigwa na kama ni mifano imetolewa lakini harakati zote hizo zaelekea kupuuzwa!

Mtu unabaki tu kujiuliza hivi hili zimwi CCM linang'ang'ania madaraka kwa maslahi ya nani? Djibouti walijidanganya hivi hivi lakini, hebu wasikilize baada ya miaka kadhaa...

Nawaomba Watanzania tuisikilize video kwa makini kilichotokea baada ya Djibouti kuingia katika mkataba wa bandari yao na DP world ya Dubai.

Pili nawaomba Watanganyika wenye uchungu na nchi yao katu tusiiruhusu CCM kuturudisha utumwani kama tunavyoona kwenye picha hii hapa chini.

View attachment 2674847

Nakubali ✔️!! NB; Hii mada inawahusu wenye uchungu na Nchi, na wale ambao hawapo ndan ya mfumo wa CCM tuu!! Cz hao niliowataja hawakubalian kamwe na hoja ya mtoa mada!!
 
Hapa mleta mada unatumia nguvu zote kufanya spinning.

DP World kwanakukera nini?

Bandari ya Berbera Djibouti ambayo umsiongelea mzigo wake 90% au zaidi ni wa Ethiopia.

Halafu hukuelezea kuwa Djibouti ilikuwa ina tatizo na DP World Djibouti ambayo inamilikiwa na wote, Serikali ya Djibouti, Serikali ya Ethiopia na Serikali ya Dubai imewekeza kupitia DP World Djibouti.

Kwanini unakuwa spin doctor?

Nakukumbukamijadala ya historia ya Mohamed Said, ulikuwa unakuja na ID tatu tatu unaongea mwenyewe unajijibu mwenyewe lakini ukagaragazwa vibaya sana na Mohamed Said, mpaka ukaahidi kutunga kitabu kuja kupinga kitabu cha #Mohamed Said. Mpaka leo tunakungoja upo kimya.
Sasa umeibuka na uongo wa kuwatungia DP World kuhusu Djibouti.

. Tuambie DP World ipo Djibouti haipo? Wana ubia na serikali ya Djibouti na Serikali ya Ethiopia hawana?

Nani ambae ameamriwa na mahakama za Kimataifa awalipe wabia wenzake?

Halafu jitambulishe basi tuwaambie DP World ukawagaragaze mahakamani kwa defamation.

Sisi tunakufahsmu mtu mfupi.

Kama kweli unayiyaandika ni kweli nanhujafanyanspinning na ni kidume unaejiamini si ujitambulishe Kama walivyofanya wengine?

Nnakuahidi kwa "defamation" tutegemee yaliyomkumba msiba.

Waarabu hawa huwa hawapigwi la kulia wakageuza na la Kushoto. kisasi kwao haki na pesa za kuemdesha kesi Wanazo, hata ukiwa Marekani.

Waarabu wana msemo wao wanasema "cheza hata mbupu zao lakini usijaribu kucheza na jina lao".

Haya kidume endelea kujiachia, yetu macho na masikio.

Nakumbuka tulimuasa msiba hapa hapa JF akatuona wajinga. Sasa nasikia msiba ana msiba mwingine mpyaaa.

Kazi iendelee.

..kuna dhana kwamba huu mkataba ni mbaya kwa upande wa Tanzania [ Tanganyika ]na umewapendelea kupita kiasi Dubai.

..Naamini kama tungesaini mkataba wa aina hii na Wachina bado wachambuzi wangetoa maoni kama yanayotolewa sasa hivi.

..Kwa hapa tulipofika Rais atumie BUSARA kwa kurekebisha mkataba / makubaliano kwa kuzingatia tahadhari zilizotolewa na wasomi mbalimbali.
 
Hapa mleta mada unatumia nguvu zote kufanya spinning.

DP World wanakukera nini?

Bandari ya Berbera Djibouti ambayo unaiongelea mzigo wake 90% au zaidi ni wa Ethiopia.

Halafu hukuelezea kuwa Djibouti ilikuwa ina tatizo na DP World Djibouti ambayo inamilikiwa na wote, Serikali ya Djibouti, Serikali ya Ethiopia na Serikali ya Dubai imewekeza kupitia DP World Djibouti.

Kwanini unakuwa spin doctor?

Nakukumbukamijadala ya historia ya Mohamed Said, ulikuwa unakuja na ID tatu tatu unaongea mwenyewe unajijibu mwenyewe lakini ukagaragazwa vibaya sana na Mohamed Said, mpaka ukaahidi kutunga kitabu kuja kupinga kitabu cha #Mohamed Said. Mpaka leo tunakungoja upo kimya.
Sasa umeibuka na uongo wa kuwatungia DP World kuhusu Djibouti.

. Tuambie DP World ipo Djibouti haipo? Wana ubia na serikali ya Djibouti na Serikali ya Ethiopia hawana?

Nani ambae ameamriwa na mahakama za Kimataifa awalipe wabia wenzake?

Halafu jitambulishe basi tuwaambie DP World ukawagaragaze mahakamani kwa defamation.

Sisi tunakufahamu mtu mfupi.

Kama kweli unayoyaandika ni kweli haujafanya spinning na ni kidume unaejiamini si ujitambulishe Kama walivyofanya wengine?

Nnakuahidi kwa "defamation" tutegemee yaliyomkumba msiba.

Waarabu hawa huwa hawapigwi la kulia wakageuza na la Kushoto. kisasi kwao haki na pesa za kuendesha kesi wanazo, hata ukiwa Marekani.

Waarabu wana msemo wao wanasema "cheza hata mbupu zao lakini usijaribu kucheza na jina lao".

Haya kidume endelea kujiachia, yetu macho na masikio.

Nakumbuka tulimuasa msiba hapa hapa JF akatuona wajinga. Sasa nasikia msiba ana msiba mwingine mpyaaa.

Kazi iendelee.
DP World hatuwataki nukta.
 
Back
Top Bottom