FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Ukishasema"dhana" ina maana si ukweli...kuna dhana kwamba huu mkataba ni mbaya kwa upande wa Tanzania [ Tanganyika ]na umewapendelea kupita kiasi Dubai.
..Naamini kama tungesaini mkataba wa aina hii na Wachina bado wachambuzi wangetoa maoni kama yanayotolewa sasa hivi.
..Kwa hapa tulipofika Rais atumie BUSARA kwa kurekebisha mkataba / makubaliano kwa kuzingatia tahadhari zilizotolewa na wasomi mbalimbali.
Kama ni kweli tujadili huo mkataba.
Usifanye "defamation",, ni ajabu mtu anakuja kajificha nyuma ya mtandao anafanya pinning ya mambo ya Djibouti, hiyo ni defamation. Na defamation ikithibitishwa yanakuwa ya msiba. Yana gharama zake kubwa sana.
Kama yu mkweli si ajitokeze?
Tena wsle wote waliodanganya na wanaodanganya kuhusu mkataba, wajitayarishe kwenda mahakamani, nnvyiwsjuwa.
Hata wewe nakukumbuka kwenye ile mijadala.
Mradi muelewe tu, DP World siyo Mohamed Said.