Hatimaye CCM, kwa kuipakata DP world, yathibitisha ni genge la ulaji lisilo na uadilifu wala uzalendo!

Ukishasema"dhana" ina maana si ukweli.

Kama ni kweli tujadili huo mkataba.

Usifanye "defamation",, ni ajabu mtu anakuja kajificha nyuma ya mtandao anafanya pinning ya mambo ya Djibouti, hiyo ni defamation. Na defamation ikithibitishwa yanakuwa ya msiba. Yana gharama zake kubwa sana.


Kama yu mkweli si ajitokeze?

Tena wsle wote waliodanganya na wanaodanganya kuhusu mkataba, wajitayarishe kwenda mahakamani, nnvyiwsjuwa.


Hata wewe nakukumbuka kwenye ile mijadala.

Mradi muelewe tu, DP World siyo Mohamed Said.
 
Usisahau kwamba kwenye huu mkataba baina ya Dr Karl Peters na Chief Mangungo uliofanywa kuuza mali za Tanganyika ya kale aliyekuwa shahidi, dalali, mkalimani wa lugha na kuwasaidia wajerumani kuwadanganya machifu wa Tanganyika alikuwa ni Mzanzibari aitwaye Ramadhani.

Aliyesema "History Repeats Itself" hakukosea..
 
CCM ni genge la wezi hata kabla ya sakata la Bandari.

Baada tu ya kuungana TANU na Afroshirazi wakawasahau wananchi na kuleta siasa za ukandamizaji kwa lengo la kukalia madaraka kwa gharama zozote.

Mahakama wamezigeuza kuwa za Chama Chao Ilani ya Chama Chao ndio wameifanya Katiba ya nchi.

Katiba ya Nchi wanaikanyaga kwa makusudi bila hofu yoyote.
 
Naona umesahau kuwajulisha Watanzania kuwa DP World. Wameshinda mlolongo wa Kesi zote za Djibouti. Kuanzia. Mwaka.
Na wewe bi Ajuza nadhani utakuwa umechanganyikiwa...je ni wapi nimeandika juu ya DP World kushinda/kushindwa kesi yoyote ile? Mimi nimesema baada ya Djibouti kung'amua waliingia mkataba haramu na DP world walivunja mkataba huo. Soma hapa...

Djibouti ends Dubai's DP World contract to run container terminal​


"The Republic of Djibouti has decided to proceed with the unilateral termination with immediate effect of the concession contract awarded to DP World,” the office of President Ismail Omar Guelleh said in a statement.

The president’s office said the contract was ended after the failure to resolve a long-running dispute between the two parties that started in 2012.

It gave no other details on the nature of the dispute, but said it took the decision to protect its “national sovereignty and economic independence.”

“It should be noted that the Doraleh Container Terminal (DCT) will now be under the authority of the Doraleh Container Terminal Management Company which is fully owned by the government,” the statement said.

Source: Djibouti ends Dubai's DP World contract to run container terminal

FaizaFoxy, kama Kiingereza kinakupiga chenga mtafute mtu akutafsiriye. Kwa bahati mbaya Kiarabu sikijui.
 
Licha ya kuwa CCM ni JIPU lililoiva Kiasi hiki lakini Bado Watanzania hatuna uthubutu wa kulitumbua 2025 .
 
FaizaFoxy said:
DP World wanakukera nini?
DP world walipojaribu kujipenyeza nchini Marekani, bunge la nchi hiyo lililojaa watu wenye akili, wazalendo na wasiohongeka kirahisi, ombi lao lilitupwa nje kwa kura 62-2.

Hapa nchini Bunge la CCM lililojaa walafi, wavivu wa kufikiri na wanaohongeka kirahisi, aridhio limepita kwa kura za ndiooooo! Lingine FaizaFoxy?
 

..nimetumia neno " dhana " kumaanisha kwamba madai yanayotolewa yanaweza kuwa ya kweli, au yasiwe ya kweli.

..kilichotokea Djibout kinapaswa kuchukuliwa kama tahadhari kwetu. Tuchunguze kwanini Djibout na DP wamekosana. Je, tatizo ni ukorofi tu wa Djibouti? Au tatizo ni DP?
 
...kilichotokea Djibout kinapaswa kuchukuliwa kama tahadhari kwetu. Tuchunguze kwanini Djibout na DP wamekosana. Je, tatizo ni ukorofi tu wa Djibouti? Au tatizo ni DP?
Exactly, huu mkataba ni wa kupitiwa kwa uangalifu sana kwani ukisharidhiwa haitakuwa rahisi kubadili chochote kilichomo ndani yake.
 
Mkuu Mag3, uamini wangu mkubwa sasa hivi ni kwamba hili la DPW, hata kama litaendelea na kuwawezesha wao kuendelea na mipango yao; kwetu sisi kama waTanzania na CCM yetu nasi tutakuwa tumepiga hatua (mbele).
Kamwe jambo hili haiwezekani lipite tu hivi hivi na kutuacha kama tulivyokuwa huko siku za nyuma.

Hili ninaliamini sana.
 
Exactly, huu mkataba ni wa kupitiwa kwa uangalifu sana kwani ukisharidhiwa haitakuwa rahisi kubadili chochote kilichomo ndani yake.
Labda nasi itatulazimu kufanya/kupitia njia walizopitia Djibouti, bila kujali matokeo yatakayofuatia.
Unajua, hakuna gharama/hasara kubwa zaidi ya kuvumilia kitu usichokitaka.
 
Halafu hebu fikiria hili...pamoja na huu mkataba huu wa ajabu, bado kuna mikataba lukuki iliyosainiwa huko huko kwa Waarabu! Kwa hakika adui wa taifa hili ni CCM, period!
CCM ni tatizo, lakini makosa ya individuals yasitumike kutoa hukumu ya pamoja, hii nchi haiongozwi na CCM yote kama taasisi, inaongozwa na individual mwenye nguvu ya ushawishi anayeamua atupeleke wapi, kama huyu ameamua kutupeleka utumwani kwa wajomba zake, wengine wakamsapoti.

Sioni mantiki ya kumtenga kiongozi wa huo ujinga wa kutupeleka utumwani, huyu ndie dira ya kila jema au ovu linalotokea nchini kwa sasa, kujaribu kumtenge na huu uozo ni kufumbia macho dhambi.

Huyu lazima anyooshewe vidole vyote, ili ayaone makosa yake na kubadilisha hali, badala ya kutoa lawama kwa taasisi yote ili mwisho wa siku asiwepo wa kumfunga paka kengele, huku tukiendelea kuumizwa na haya mambo ya hovyo.
 
Simple
 
Wanatumia dola kweli
 
Kwa hiyo bila shaka hata wewe unashangaa kama ninavyoshangaa mimi.
Hayo yote uliyo yaorodhesha ili kuiwezesha CCM kutoka madarakani yataanzia wapi iwapo ni CCM hao hao ndio wanatakiwa wawafanyie hisani waTanzania ili mambo hayo yafanyike?

Jameni, hebu acheni kuifanya CCM, tena hii ya Samia (?), ionekane kama wao ndio wanaotufuga binaadam wote wa nchi hii.
 
Hatari sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…