Uchaguzi 2020 Hatimaye CCM yajifuta rasmi Mtwara na Lindi

Endelea kumshabikia Aunt Li, halafu baada ya Oktoba 28 uende nae ubelgiji mkaolewe wote. Huku Magufuli akiwa anaapishwa kuwa Rais wa JMT
Ant ni yule anaye ishi kwa matumaini
 
Huko ni chadema 100% hawa majizi na madikteta ccm hawawezi kupata hata kura moja
 
Umeandika ushudu tu, je umeelewa hoja niliyoijibu mimi? Halafu inabidi ufahamu mtu anakosea njia mara moja tu, ukienda ukirudi ushaijua njia, fahamu hii siasa ni hesabu sasa wewe endelea kukaririshwa na Aunt Li utegemee mambo ndo yatakuwa vilevile.
Nimeelewa wakati umehoji CCM itajifuta vipi Lindi wakati Majaliwa anatokea huko!! Yaani Majaliwa kutokea Lindi kwako ndo unaona hoja ya msingi?!

No wonder umekuwa mpiga makofi kama zuzu manake kama unasahau ulichoandika mwenyewe sasa kadhaa tu zilizopita, then una-fit kuwa mtaji wa Jiwe manake Mtaji mkubwa wa Jiwe ni Jeshi kubwa la Wajinga waliopo nyuma yake!!!
 
Nimeelewa wakati umehoji Lindi wataacha vp kuipigia kura CCM wakati Majaliwa anatokea Lindi!! Hivi una akili kweli wewe?!!

No wonder umekuwa mpiga makofi kama zuzu manake kama unasahau ulichoandika mwenyewe sasa kadhaa tu zilizopita, then una-fit kuwa mtaji wa Jiwe manake Mtaji mkubwa wa Jiwe ni Jeshi kubwa la Wajinga waliopo nyuma yake!!!
Macho yako yatakuwa na kengeza wewe, na bila shaka nina wasiwasi hata utashi wa akili yako yamkini utakuwa ndo walewale ukoo wa Aunt Li waliopo kule Milembe
 
We cho'ko acha matusi, kima wewe!!! Usidhani watu hawajui kutumia lugha za kifedhuli! Hapa chini umeandika nini?! Very stupid
Yani hoja ya kilofa kabisa, iliyosheheni uongo, unafiki, uzandiki na uchonganishi ndani yake. Nani aliyekudanganya CCM imejifuta Mtwara na Lindi? Hivi Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa anatokea Dsm au Kenya? Tuanzie hapa.
 
We cho'ko acha matusi, kima wewe!!! Usidhani watu hawajui kutumia lugha za kifedhuli! Hapa chini umeandika nini?! Very stupid
Hilo ni ingizo jipya kutoka koromije ndiyo maana kaingia kwa lugha za matusi
 
Nimeelewa wakati umehoji CCM itajifuta vipi Lindi wakati Majaliwa anatokea huko!! Yaani Majaliwa kutokea Lindi kwako ndo unaona hoja ya msingi?!

No wonder umekuwa mpiga makofi kama zuzu manake kama unasahau ulichoandika mwenyewe sasa kadhaa tu zilizopita, then una-fit kuwa mtaji wa Jiwe manake Mtaji mkubwa wa Jiwe ni Jeshi kubwa la Wajinga waliopo nyuma yake!!!
Ubariliwe sana ndugu mzlendo
 
We cho'ko acha matusi, kima wewe!!! Usidhani watu hawajui kutumia lugha za kifedhuli! Hapa chini umeandika nini?! Very stupid
Haya tulia sasa ushameza kidonge moja, dozi inaendelea taratibu usifanye pupa. Lete hoja yako mezani, unataka kusema kitu gani wewe?
 
Duh! Kumbe kweli utakuwa cho'ko wewe, manake si kwa mipasho hiyo!! Kipi cha maana umeongea zaidi ya mimi kuonesha uzuzu wako wa kusahau ulichoandika mwenyewe?!

Very stupid!!

Yaani kusema CCM itafutika vipi Lindi wakati Majaliwa ni mtu wa Lindi kwako hiyo ndo hoja?! Hivi nikikuuliza hiyo hoja uliyiotoa ni ipi, unaweza kuitaja hapa?!

Hakika Mtaji Mkubwa wa Jiwe ni Jeshi Kubwa la Wajinga lililopo nyuma yake!!!
 
Huko nimekimbia jamaa walio toka Mozambique
Hahaha nyie watu wa Kitaya na Kiromba juu na Kiromba chini mnalo Hilo..itabidi mgangamale ...wenzenu wanavuka kwa mitumbwi kwenye huo mto Ruvuma...wavizieni penbezoni mwa mto...
 
Wale majamaa siyo wa kuwafanyia majaribio.wanatisha na hawana huruma hata kidogo na kiungo chochote kile cha mwanadamu
 
Duh! Kumbe kweli utakuwa cho'ko wewe, manake si kwa mipasho hiyo!! Kipi cha maana umeongea zaidi ya mimi kuonesha uzuzu wako wa kusahau ulichoandika mwenyewe?!

Very stupid!!

Yaani kusema CCM itafutika vipi Lindi wakati Majaliwa ni mtu wa Lindi kwako hiyo ndo hoja?! Hivi nikikuuliza hiyo hoja uliyiotoa ni ipi, unaweza kuitaja hapa?!

Hakika Mtaji Mkubwa wa Jiwe ni Jeshi Kubwa la Wajinga lililopo nyuma yake!!!
Wewe kweli kiazi, kama umeshindwa kuelewa nilichoandika utaweza kweli kuelewa hata jinsi ya kupiga kura wewe?
Nadiriki kusema Wapambe wa Aunt Li, wanachokiwaza kwenye vichwa vyao ni kile wanachotendewa tu na mume wao Amsterdam
 
Mimi naamini kura milioni tatu za jiji la dar ess salaam zitaenda kwa Lissu milioni mbili,na huku mh Magufuli akiambulia laki nane...gap litaanzia hapo

Kanda ya ziwa mara,kagera,mwanza,simiyu Ni ngoma droo kwa hawa wawili.
Hapana sio kweli, Mara na Kagera kama uchaguzi utakuwa huru na haki, Magufuli atawaka.
 
Lisssu ndiyo rais wa JMT kwa awamu ya sita na hilo halina ubishi maana hata ccm wenyewe wanalijua
 
Back
Top Bottom