Hatimaye chanel za ndani zaanza kuonekana kwenye kisimbuzi cha DSTV bila kifurushi chochote

Hatimaye chanel za ndani zaanza kuonekana kwenye kisimbuzi cha DSTV bila kifurushi chochote

Program Manager

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
2,763
Reaction score
3,955
Wapenda bure kilio chetu kimesikika na hatimaye chanel za ndani zimeanza kupatikana/kuonekana bila kujali una kifurushi au la.

Mimi kwangu nabadili tu chanel mara clouds sijakaa sawa chanel ten kidogo eatv nk

Nipeni mrejesho Wapenda bure wenzangu

Uzi tayari
 
Chaneli zenyewe za ndani hazina vpindi vinavyo vutia kutwa kupiga muziki, sijui mnazipendea nini
Mimi nisipolipia ktk startimes madogo wanachomoa nyaya wanaunganisha Deki full kuangalia maseason yaani hawana time na chanel za local
Na hiyo nikutokana na vipindi vibovu vilivyopo kwenye hizo Local chanel.
 
Tumetofautiana mkuu wengine tunapenda mpaka matangazo ya biko na 3 mzuka 😆
 
Hata mi nimeziona,hii DStv nilitupa kabatini huko kwa zaidi ya mwaka hatamiye Leo nimeanza kukitumia tena
 
Back
Top Bottom