Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 2,763
- 3,955
Pole sana mkuu endelea kuvuta subira zitafunguka tuWanabagua sisi wengine hamna kitu
Ni wakati wa kununua betri za rimoti sasa 😆Wenye smartphone au simu jaza zimeni Hotspot bando litaisha.
Tumetofautiana mkuu wengine tunapenda mpaka matangazo ya biko na 3 mzuka 😆Chaneli zenyewe za ndani hazina vpindi vinavyo vutia kutwa kupiga muziki, sijui mnazipendea nini
Mimi nisipolipia ktk startimes madogo wanachomoa nyaya wanaunganisha Deki full kuangalia maseason yaani hawana time na chanel za local
Na hiyo nikutokana na vipindi vibovu vilivyopo kwenye hizo Local chanel.
Nunua betri za remote, futa vumbi kisimbuzi chako kula maisha mkuuHata mi nimeziona,hii DStv nilitupa kabatini huko kwa zaidi ya mwaka hatamiye Leo nimeanza kukitumia tena