Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833


Kama wewe ni mtumiaji wa ChatGPT Free, kuna habari kubwa inakuja! 🔥

Kuanzia wiki ijayo, OpenAI inatarajiwa kuondoa kikomo cha kawaida cha text chats kwa watumiaji wa Free kwenye GPT-5.6 Luna. 🤖🔥.

Yaani ile hali ya kuambiwa umefikia kikomo Cha kutuma message limit inaenda kufa na kubaki historia kwa mazungumzo ya kawaida. 🤯

🧠 Lakini kuna jambo muhimu! 👀 Kuwa “Unlimited” hii haimaanishi kila kitu kitakuwa bila kikomo. Images, file uploads na baadhi ya tools bado zinaweza kuwa na limits.

ChatGPT inaingia level nyingine kabisa! 🚀🤖
Je, wewe ungependa ChatGPT iwe 100% unlimited kwa kila kitu? 👇😱
 
Sasa mlikuwa mnalipia CHATGPT kwa ajili ya kufanya nini? Ila vijana sasa hiyo Hela si mngechangia tonetone la CHADEMA shameonu vijana wangu
 
Sasa huyu bibie chati jipiti nitamtongoza hadi anipee uroda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…