Tetesi: Hatimaye "Chato International Airport" kuzinduliwa rasmi mwezi Aprili

Watu wanapata MA Leaders lakini sisi tunapata MA Dealers akili makalioni.
 

Songwe utakamilika tu, mambo mazuri hayahitaji haraka
 
Mkuu baada ya miezi mitatu haiwezi kuwa nyuma ya Dsm na KIA...Lkn kwa mpangi wa muda mrefu,bila shaka utakubaliana na mimi itakuwa nyuma ya hivyo viwanja wakiwa sambamba na ule wa Mwanza.Sina nia ya kumpotosha mtu
Haya bwana hongera kwa ufuatiliaji wako.Tuombe uzima tuyaone hayo mafanikio.
 
Wacha kubabaisha watu bwana. Unahisi wale wanao kwenda mleba au biharamuro ama geita ama katoro ama kahama watalazimika kutumia mabasi..

Usisemehe mifuko yavwenzio kama Nina hela wenzako wanazo. Na habari ya viwanda na hayo mengine yatakuja.
Hakuna mtu wa kupanda Boeing au bombardier Chato wewe labda apande yeye na familia yake.
 
Mi nadhani point ya Barafu ni suala la economic significance of the project hapo Chato. Kwani huo wa Chato ungejengwa kwa kiwango kama airstrip/port ya Musoma au Arusha halafu resources zingine zikaelekezwa kwingine kungekuwa na shida gani?

Mi ninachokiona kati yenu ni ishu ya itikadi na hizi itikadi zenu ndo zinafanya tunaishi maisha ambayo siyo yetu ukilinganisha raslimali tulizonazo kama taifa. Hata hivyo kila mtu anayo haki ya kutoa maoni yake na yakaheshimiwa. WOTE MKO SAHIHI kwa mtazamo kwa kila mmoja kama watu wawili walioko juu na chini ya namba 6/9.
 
International airport Chato inasaidia nini kiulinzi? Ungeelezea kiuchumi ningekuona wa maana.
Hivi hizo shule mlienda kusomea Ujinga? By Faiza Fox
 
Kuwekwa kipaumbele kwenye bajeti siyo hoja. Chamsingi tujiulize kuna tija?
Tumewahi kuwa na vipaumbele nchi hii unajaza treni lakini vingi Kati ya hivyo ni wastage of Tax
 
Msalato international airport imefikia wapi? Maana hayo ndo makao makuu ya serikali tunahamia.
 
Ni kweli Mlau balafu anakosea sana! Tena sana! Ata Nyerere alijenga Butiama International Airport(BIA), Mh. Alhaj Mwinyi alijenga Pemba International Airport, mh. Mkapa naye alijenga Newala International Airport(NIA), Mh. Jakaya naye alijenga Msoga International Airport.
 
Hiyo sio kweli.Kama ni kwa kiwango cha International airport hakuna phase inayoweza kutekelezeka na uzinduz kufanyika

Wataalamu wa Civil na structural engineering wanaweza kutusaidia kwa hili.Pia kabla ya kuweka uhakika unachosema rejea ujenzi wa Kiwanja chochote cha ndege unachokijua wewe utueleze phase ya awali kukamilika ilichukua muda gani na vitu gani vilikamilika
 
Kumbe kuna watu wana chuki na kaskazini mmmmh! itabidi tuanze independent movement tuwe nchi huru
 
Wakuu tunahusisha viwanja vya ndege na mbuga kweli? Inamaana tusingekuwa na mbuga hatusingejenga viwanja vya ndege? Anyway ata mimi sijui umuhimu wa uwanja wa Chato japo najua serikali inaujua umuhimu wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…