Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana nimesema hoja dhaifu huletwa na watu dhaifu pia,,,geita kuna uwanja unamilikiwa na mgod, na ndege hutoka pale moja kwa moja bila kupitia sehemu yoyote tena bila kukaguliwa, mwanza kuna uwanja mbao unahitaji kuboreshwa na kutoka mwanza hadi chato sio mbali, mkoa Jiran na hapo chato ie kagera kuna uwanja, kigoma kuna uwanja !! Kwa nn tusipeleke nguvu kuboresha vilivyopo kwanza kama kuna nia ya dhat?
Songwe kuna migod mipya lakin ile songwe international airpot had Leo haijakamilika!?? Kuwa mkweli mkuu , otherwise u aongo,was na political wing!!
Haya bwana hongera kwa ufuatiliaji wako.Tuombe uzima tuyaone hayo mafanikio.Mkuu baada ya miezi mitatu haiwezi kuwa nyuma ya Dsm na KIA...Lkn kwa mpangi wa muda mrefu,bila shaka utakubaliana na mimi itakuwa nyuma ya hivyo viwanja wakiwa sambamba na ule wa Mwanza.Sina nia ya kumpotosha mtu
Lakini mbona wa chato unaenda haraka, kama mambo mazuri haya hitaji haraka?Songwe utakamilika tu, mambo mazuri hayahitaji haraka
Hakuna mtu wa kupanda Boeing au bombardier Chato wewe labda apande yeye na familia yake.Wacha kubabaisha watu bwana. Unahisi wale wanao kwenda mleba au biharamuro ama geita ama katoro ama kahama watalazimika kutumia mabasi..
Usisemehe mifuko yavwenzio kama Nina hela wenzako wanazo. Na habari ya viwanda na hayo mengine yatakuja.
Si unaona ulivyo mjinga!Mjusi wewe, hata uwanja wa kisasa wa mpira utakaojengwa dodoma nao utamind kisa hakuna timu ya ligi kuu?
hahaha its a matter of time mtamuelewa mtoa mada kwa hayo maendeleo yatakayo letwa na huo ujenzi.
Mi nadhani point ya Barafu ni suala la economic significance of the project hapo Chato. Kwani huo wa Chato ungejengwa kwa kiwango kama airstrip/port ya Musoma au Arusha halafu resources zingine zikaelekezwa kwingine kungekuwa na shida gani?Kipigi,
Naungana na wewe.
Pist yake kwangu imekosa mantiki pale aliposema uwanja wa chato usijengwe ili kuboresha wa mwanza wakati anatambua kwamba
1. Maboresho ya uwanja wa mwanza yanaendelea hadi sasa na ujenzi wa uwanja wa chato hauja athiri maboresho ya uwanja wa mwanza.
2. Kuna uhitaji wa kujenga uwanja wa ndege kuhudumia mbuga ya serengeti. Badala ya kupiga debe uwanja huo ujengwe ndani au karibu na mbuga hiyo anashadadia uwanja wa mwanza ndio uhudumie serengeti ilhali upo miles away.
Ni seme tu kwamba badala ya kulalamikia uwanja kujengwa chato. Tusifie na kudai ujenzi na uboreshaji wa viwanja vingine vingi tu vinavyohitajika kote nchini kulingana mahitaji ya sasa na ya baadae.
Lengo isiwe kukataa maendeleo yasiwepo eneo flani bali yapelekwe kwa wakati kulingana na mahitaji na faida zitakazopatijana.
International airport Chato inasaidia nini kiulinzi? Ungeelezea kiuchumi ningekuona wa maana.Tusianze kulaumu tu bila ya kuwa na facts za kutu-back up, cha kujiuliza kwanza ,je, Serikali au tuseme uwamu iliyopita waliwahi kuwa na mpango wa kujenga kiwanja cha ndege CHATO? pili ,je, uwanja huo umejengwa strategically kwa masuala ya ulinzi wa nchi - haya ndiyo maswali ya kujihoji kwanza kabla ya kuanza kumlaumu JPJM bila sababu za msingi.
Kuwekwa kipaumbele kwenye bajeti siyo hoja. Chamsingi tujiulize kuna tija?Mkuu nadhani tatizo like hapo watanzania wamekuwa walalamishi Kama watoto wadogo. Hawajajisumbua hata kuangalia budget ya Mwaka wa fedha Kama kipaumbele hicho kilikuwepo, pia kuangalia Kama 5years strategic plan ya nchi ilitaja mradi huo.Kulaumu bila data ni makosa. Labda tufanye home work ya kupitia budget ya mwaka wa fedha kwanza halafu tune na majibu
Si unaona ulivyo mjinga!Mjusi wewe, hata uwanja wa kisasa wa mpira utakaojengwa dodoma nao utamind kisa hakuna timu ya ligi kuu?
Ni kweli Mlau balafu anakosea sana! Tena sana! Ata Nyerere alijenga Butiama International Airport(BIA), Mh. Alhaj Mwinyi alijenga Pemba International Airport, mh. Mkapa naye alijenga Newala International Airport(NIA), Mh. Jakaya naye alijenga Msoga International Airport.barafu,
Hongera kwa mada yako.lakini usiwaaminishe watanzania kupitia mtandao na hizo code zinazoonesha level za viwanda vya ndege kuwa sasa kiwanja cha Chato kitakuwa na ubora baada ya kiwanja cha ndege cha Dar na Kilimanjaro.
Pamoja Maelezo mengi ambayo ni hisia hasi kwa utawala wa Rais Magufuli kuhusu huo uwanja wa chato huo uwanja ni muhimu tu kwa matumizi ya Rais akiwa ziara mkoani kwake na hata akiwa mapumziko ni nyumbani kwake. Hilo halina mjadala ndiyo maisha yanavyotakuwa kuwa.
Program ya viwanja vya ndege vingine nchi mzima IPO ktk bajeti ya Wizara ya Ujenzi ktk hatua mbalimbali za utekelezaji. Mfano Dodoma kimeboreshwa sasa na ndege kubwa zinatua sasa,Katavi uwanja ni mzuri sana umejengwa n.k
Naona macho na masikio yote umeyatoa kiwanja cha chato mkoa wa Geita ndiyo kinajengwa hivyo.
Hivi mbona unajifanya huna akili timamu?kwa akili yako unaona uwanja wa ndege ni kitu cha ajabu sana!
Hiyo sio kweli.Kama ni kwa kiwango cha International airport hakuna phase inayoweza kutekelezeka na uzinduz kufanyikaHuwezi kuwa na International Airport kwa miezi mitatu,lkn ni kweli kuwa "phase" mojawapo ya hatua ya kuwa na uwanja wa aina hiyo unaweza kukamilika kwa miezi hiyo.
Kumbuka hatua za mwanzo za Uwanja huu umeanza toka mwezi September...Hivyo hadi April itakuwa ni miezi karibu 07.
Mkuu Ngapulila kumi huanza na moja,na kuuzindua sio kuwa ndio utakuwa umekamilika..Hatua nyingine za kuuboresha zitaendelea.Asante