Tetesi: Hatimaye "Chato International Airport" kuzinduliwa rasmi mwezi Aprili


hahahahaha...mkubwa Happy New Year! Kwamba angalau nina akili kidogo. Asante sana Kiongozi kwa hiyo evaluation.

Uwe na mwaka wenye heri na mafanikio kadri ufanyavyo kazi!

Masanja
 
The only problem we experience so far is "Technical of know how" in all aspects.
 
Kumbe ili ufike Dodoma itakulazimu kokote utakakotokea hata Marekani ndege yako lazima itue Chato International Airport.Pale utapanda gari mpaka Dodoma
 
Yaani JPM katufanya tuwajue hawa UKAWA vizuri. Kumbe walikuwa weupe mno kichwani. Zamani walikuwa wanatumia mwanya wa makosa ya serikali kujipatia umaarufu, JPM kazimaliza changamoto zilizokuwa zinawapa kubwabwaja, siku hizi hizi ndio sera za UKAWA. kumwaga pumba tu na kubutua bora liende.

Sasa huu nao ni mjadala wa Great Thinkers KWELI JAMANI..??
 
Manadiplomasia[emoji1] [emoji1]
 
Mkuu,tup
Mkuu,tupe ripoti,uwanja umekamilika?
 

Umechambua vizuri sana.huku ukiuacha ubongo wako ukudadavua mambo pasipo kuingiliwa na milengo ya kipuuzi.hongera sana Chief.tena sana
 
Ili uweze kuuelewa vizuri zaidi huu uzi unapaswa uweke kando itikadi zako za kichama na utangulize utaifa kwanza. Ukimaliza kusoma bebana na uchama wako uende mwanakwenda.
 
Mjumbe mbona maandishi meeeengi kwa hoja finyu hivyo? Jaribu kulinganisha Arusha Airport na KIA (kilomita 30) na Chato hadi Mwanza (kilomita 300) - na ukumbuke kwamba Waziri Mkuu Sumaye alinuima bajeti ya Songwe Airport Mbeya akaihamishia ikajenge Arusha Airport. Kwa nini Ukawa hamkulalamika wakati huo? Kwa nini mna ubinafsi mkubwa kiasi hicho? Mkoa wa Geita una watu milioni 5, ni wengi kuliko Arusha na Kilimanjaro combined, kwa nini wao wasipate airport

Unataja Serengeti kana kwamba ni mbuga ya "kwenu", lakini kutoka Mwanza hadi geti ya Serengeti ( na wanyama wanaanzua hapo hapo) ni kilomita 50; kutoka KIA hadi Naabi kuingia Serengeti ni kilomita 400. Nusu ya mbuga ya Serengeti iko mkoa wa mara na robo iko mkoa wa Simiyu. Kinabaki kipande kidogo sana Mkoa wa Kilimamjaro (0%) na Arusha (3%) lakini Mbunge Nassari alitaka mjitenge ili mlinde mbuga "yenu").

Mkuu umetuelimisha sana na uchambuzi wako ila ungeeleweka zaidi kama ungeanzia KIA. Mhe. Waziri Mkuu Sumaye alijenga Arusha Airport (jirani pua na mdomo na KIA) kwa kuchota bajeti ya Songwe Airport Mbeya. Hii ni moja tu ya miradi mingi oliyojengwa "kwenu" bila kujali Watanzania wenzenu - umeme kijijini, barabara, hospitali, shule, nk. Ungejua kuwa Mkoa wa Geita una watu wengi kuliko mikoa ya Kilimanjaro na Arusha, na eneo lake ni zaidi, usingelalamika wao nao kupata airport - hapo bado shule hospitali umeme na barabara. Ni Mkoa mpya ulionyofolewa Shinyanga Bukoba na Mwanza lakini huko ilikotoka ni hivyo hivyo. Unaona uchungu ngani kuona Tanzania yote sasa inapata maendeleo?

Nashangaa umetaja Serengeti wakati Mbunge Nassari alitishia mjitoe Tanzania mtafaidika na mbuga "zenu" wakati three-qurters ya Serengeti iko Mara na Maswa. Vipi leo unatetea Mwanza Airport wakati mliipiga vita miaka yote hiyo ili watalii watumie KIA? Una nia dhati kweli kujenga Mwanza au ni nafasi ya kukashifu tu?

Ni bahati nzuri kuwa Rais anatoja huko na yeye atafaidika; lakini jiulize mawaziri wa Kaskazini si wamepelka lamu na umeme hadi mlimani nyumbani kwao mtu mmoja, wakati Magu atasaidua Watanzania wengine mulioni 4?
 
Sasa ni dhahiri kuwa, kuanzia mwezi Aprili katika mapumziko ya Pasaka, Mkuu wetu atakuwa na uhakika wa kwenda mapumzikoni kwa kutumia uwanja wa ndege mpya wa Chato, yaani Chato Airport.
Inakwenda May, vp wamezindua
 
Mkuu WILLIAM MARCONI kwanza nitake radhi,mimi sio wa "Kaskazini" wala mimi sio UKAWA
Mimi misimamo yangu huwa siendeshwi na itikadi,nipo huru kuzungumzia kila nachokiamini.

Suala usilolijua ni kuwa,ukiacha Uwanja wa Ndege wa Dsm kwa uwingi wa "Flight Movements" basi uwanja unaofauatia ni Arusha.Kwamba kwa uwingi wa movements za ndege,wa kwanza ni JNIA,inafuatia Arusha,KIA,LakeManyara halafu Mwanza ndio inafuatia.

Kwa hiyo kama uliona wanaweka msisitizo ktk uwanja wa Arusha,ndio uje kuwa una movements nyingi kuliko hata hiyo Mwanza,sembuse hiyo Geita unaayoisema wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…