Tetesi: Hatimaye "Chato International Airport" kuzinduliwa rasmi mwezi Aprili

Mi namlaumu kikwete kwa kutuletea Rais kama huyu, bora hata angekuwa migiro mara 100

Lawama zote zitaishia kwake na wale wazee wattu walioshirikiana naye kung'ang'ania nafasi ya uraisi bila sifa. Huyu ndiye alilyeua elimu yetu, kushamirisha ufisadi, matumizi ya wazi ya nguvu katika kulinda udanganyifu,
 
Je tuna shida ya vipaumbele? Ama yapi ya muhimu na yapi ya lazima?
 
Kwani Chato kuna nini hadi uwepo uwanja wa ndege wakati Arusha hakuna
 
Kwani Chato kuna nini hadi uwepo uwanja wa ndege wakati Arusha hakuna
Kipimo cha uhitaji ni Arusha tu? Kwa ulivyowaza ni kuwa kila kitu lazima kianzie Arusha?? Pole mkuu najua sio wewe.. Japo siungi mkono hili jambo ila nawe hujawa sahihi pia
 
Chato International Airport ni project ya hovyo hovyo iliyo fanywa kwa kumuogopa Rais Magufuli
Chato itahudumia mikoa 4 yenye watu milioni 6. Mbeya inahudumia mikoa 6 yenye watu milioni 10. And yet UKAWA ya Waziri Mkuu Sumaye walitumia hela za Mbeya Airport kujenga Arusha Airport kuhudumia watu laki 7 wakati KIA iko pua na mdomo. Elewa kuwa sera za sasa ni kuwanyanyua waliokuwa wameachwa; ùkwa hiyo hesabu za fasta fasta unaweza usione kipaumbele. Chato na Mbeya zilianza wakati wa Professor Mwandosya akiwa Waziri wa Uchukuzi.
 
Chato HAIKUWEPO ktk bajeti yyt ya Tanzania hadi Rais Magufuli alipo shinda!
kama issue ni kuhudumia watu Milion 6,basi wangeimarisha Airport ya Mwanza au hata ya Kagera!
Chato Airport inaenda kuwa kubwa zaidi ya Mwanza,Mara and Kagera combined!
HAIKUBALIKI!
 
Je tuna shida ya vipaumbele? Ama yapi ya muhimu na yapi ya lazima?View attachment 524149View attachment 524150
Hii inanikumbusha mwalimu wangu wa elementary planning alianza somo kwa kutupa story ifuatayo: Jamaa mmoja alikuwa hana shati wala suruali. Akapata sh 6000 ili anunue shati la mtumba elfu mbili na suruali ya 4000. Jamaa akaenda shoping mara akaona kofia aina ya spear bei yake 6000 tsh akainunua na kuendelea kubaki uchi!!.
 
Ila tender document hakuna mahali pameandikwa International airport. Any way tunahitaji airport za kimataifa nyingi zaidi ila kuiweka chato kwa sasa haina mashiko.
 
Duhhh sasa Chato kuna nini Mara mataa Mara uwanja wa Ndege basi Chato liwe Jiji tu.
 
Kagame must be stopped visiting Tanzania or die in Tanzania.

Lazima tumlishe "njugu mawe" kwenye "ibishyimbo" na anavyopenda kula na ulafi wake japo ni mwembamba kama mlingoti wa bendera lazima tumlishe hata kama ni kwa nguvu za mshana jr .

Hatutaki ujinga wa Rwanda hapa Tanzania.
 
Uwanja ulishakamilika,inasubiliwa tu mzee kutoa "Go ahead"

Ilitegemewa Pasaka akalie nyumbani kupitia huo uwanja,lakini haikuwa kama ilivyotarajiwa
Mkuu barafu leo karibu miaka 2 thread bado inasomeka ni tetesi au ulikuwa unamaanisha April ya mwaka gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…