Tetesi: Hatimaye "Chato International Airport" kuzinduliwa rasmi mwezi Aprili

Je maeneo ya Gongolamboto yana watu wengi zaidi wanaoweza kupanda ndege kuliko Masaki au sehemu zote za Dar? Au ni asilimia ngapi ya wakazi wa Dar wanapanda ndege? Mipango hii ni zaidi ya hilo, kiwanja cha ndege kina "'catchment area yake", ndiyo maana KIA inahudumia mikoa ya kilimanjarao, Arusha , Manyara na Tanga, Mwanza ni Mwanza, Simuyu,Shinyanga na Mara, Songwe ni Mbeya, songwe, Iringa Rukwa nk, Chato ni Geita, Kagera,sehemu ya Shinyanga nk ambako kuna migodi ya dhahabu ya GGM, Bulyanhulu, Pangea, Wilaya za Kahama, Nzega, Igunga nk. Kuna Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo, Ziwa Victoria, viwanda vya mazao ya samaki, pia utahudumia majirani wa Rwanda ,Burundi Uganda hasa wanatumia bandaria ya Nchi kavu ya Isaka, watumishi wa TPA na suala zima la clearance nk. Zipo sababu nyingi za kiuchumi , kijamii na kiusalama.
 
Umeongea point...

Tatizo sasa hivi hakuna mashaurianao ni amri, maagizo na utekelezaji hata kama hakuna tija...


Cc: mahondaw
 
Alikuwa anaomba ili apate vitamu, sasa maombi zaidi ya nini? Anachofanya kitakuwa ni shukurani peke yake, kwani sijawahi sikia mtu anaomba msaana kutoka kwa wengine kwenye kushukuru bali kwenye kuomba tu.
 
Hongera JPM kweli umeweza
Wenzako wote waliyotangulia walishindwa kujenga makwao!

Ova
 

Indeed times have changed. Lets dance with tunes!
 
Ili usiote nyasi ukaharibika ni vyema kwa sasa wameruhusiwa wakulima na wavuvi wautumie kuanikia mazao yao hadi itakapofika wakati wa kutumika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…