Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwache wivu wa kijinga. Yeah miji ya kwenu ikijengwa mnaona sawa ya wenzenu mnapata nongwa!!!Mkuu Yaani wanataka eti wafanye miujiza wahindi matajiri wote watalazimishwa kujenga hotel Chato, na Nation housing, Veta walalazimishwa wajenge nyumba na Hotel pia NSSF na mashirika mengineyo watalazimishwa kuijenga Chato.
Yaani Chato itajengwa kwa lazima kwa Amri amri bila kupenda.
mbona unaweka mpira kwapani mapema namna hiyo? jaribu kujibu hoja za mtoa mada basi angalau hata kidogoMwache wivu wa kijinga. Yeah miji ya kwenu ikijengwa mnaona sawa ya wenzenu mnapata nongwa!!!
Watawala walichowaweza watanzania ni kuwaharibia elimu...ni wewe ni moja ya matunda ya elimu yetu mbovuMajungu tu, kwani chato wanakaa nyani? Kwani lazima ndege zote wapande watalii? Hacheni ubwe.ge kwani chato ipo sudan?
Hacha uchochezi wewe ushawajengea majirani zako nyumba??Nimeona picha za Rais akiwa ameenda kuwafariji jirani zake, kwenye Gazeti la leo 30.12.2016 Mwananchi.
Ni aibu sana, jirani zake wanaishi kwenye nyumba duni sana, za tope
Sijui Rais anajisikiaje kujenge kiwanja cha ndege kwa Nyumba kama hizo za jirani zake.
Lakini pia yale matamko yake anajisikiaje akiwa na jirani zake wa hali hiyo?
Time will tell
Mwanza sio center ya eac states bhana...that should be kagera....which boarders all said states..labda kama kigezo chako ni kuwa kalibu na serengetiMkuu barafu, iwapo serikali ingechukua hata nukta ya ushauri wako basi isingejuta kufanya hyo.
Mwanza is a Central of East African country! Kutoka Mwanza kufika Serengeti ni masaa yasiyozidi 2, hvyo kuwa na International airport mwanza hakika uchumi wa mwanza na nchi ungepaa Sana...maana wageni wengi wangetua na kwenda Masai zaidi kuliko hivi sasa sisi ndio vinara wa kwenda kupokea kwenye border ya isbania!!!
mkuu haujafikiri kwa usahihi.Mnaweza kuweka uchambuzi mzuri sana ila ukakosa mashiko kwa kuwa tu una lengo la kiitikadi zaidi.
Mimi huwa najiuliza, je suppose tungechagua huko, kwa bahati mbaya sana umeshindwa kujiendesha wenyewe mkaamua kuturudishia walewale waliokimbia huku baada ya kukatwa je mngeweza kutujengea nchi kweli?, au mngeishia kuandika uchambuzi kama huu wakati mkishuhudia barabara ya Chalinze-Moshi ikiwekwa 4 ways, na kiwanja kama hicho cha chato kikijengwa Hai au Monduli?
Maana wenzetu wa upinzani mmekuwa mabingwa ya kuchambua msivyoviweza, mmekuwa wazuri theoretically but you are not practically oriented, mambo yenu mengi yanakwenda kinyume lakini kwa vile kafanya yule, basi you keep quite kama vile hamuoni huku ukisubiri uongee likifanyika upande wa pili.
Kaskazini ilijengeka mapema kwavile watu wa kaskazini walipata fursa, wakakumbuka kwao ili wapate kwenda mapumzikoni kila mwaka, sasa acha fursa zinapopatikana sehemu zingine basi wazitumie fursa hizo, huku mkiwa wavumilivu mkisubiri 2020 ,
Tusianze kulaumu tu bila ya kuwa na facts za kutu-back up, cha kujiuliza kwanza ,je, Serikali au tuseme uwamu iliyopita waliwahi kuwa na mpango wa kujenga kiwanja cha ndege CHATO? pili ,je, uwanja huo umejengwa strategically kwa masuala ya ulinzi wa nchi - haya ndiyo maswali ya kujihoji kwanza kabla ya kuanza kumlaumu JPJM bila sababu za msingi.
Mkuu,Hacha uchochezi wewe ushawajengea majirani zako nyumba??
Shauri yenu mlimwacha elimu akaenda zake. Wacha wajenge ssie tutapanda kuja chato. Hatutaki ujinganina umri wa miaka 73, nimetokea kwenye familia yenye watoto wengi sana , ila cha kuskitisha katika familia yetu ama ukoo wetu kwa ujumla hakuna hata 1 aliyewah kupanda ndege
Mkuu nadhani tatizo like hapo watanzania wamekuwa walalamishi Kama watoto wadogo. Hawajajisumbua hata kuangalia budget ya Mwaka wa fedha Kama kipaumbele hicho kilikuwepo, pia kuangalia Kama 5years strategic plan ya nchi ilitaja mradi huo.Kulaumu bila data ni makosa. Labda tufanye home work ya kupitia budget ya mwaka wa fedha kwanza halafu tune na majibu
Mwanza ni jiji tangu mwaka 2000,Wasukuma oyeeeeee,
Kama nawaona,watakavyojikusanya kwa wingi,siku ya uzinduzi,kushangaa hayo mandege lol.
Mwanza ni jiji tangu mwaka 2000,
Wasukuma hawana cha kushangaa hapo