Hatimaye cheka achekeshwa chozi India

Hatimaye cheka achekeshwa chozi India

Jamaa aliuza mechi mubashara kabisa..yaani akupigwa ngumi ya maana..kweli nchi hii ngumu
 
Mabondia wengi wa Tanzania wana Tabia ya kuuza mechi hasa wakiwa nje, unakuta Bondia wa Tanzania akipigana pambano kama hilo anapewa labda dollar 10000, lakini akikubali kupigwa anapewa 15,000.00 wengi wanakubali kupigwa, nimeipata hii kutoka kwa jamaa yangu Bondia majuzi tu alikuwa ulaya na aliombwa akubali kupigwa ili asimvunjie hadhi bondia wa nyumbani na pia kuna wacheza kamali waliowekeana dau

We chunguza wote wanapigwa round ya tatu
Nikweli kiongozi ile game mimi nmeiona yote`hakuna sehemu ambayo cheka kapigwa ngumi nzito,,ikamfanya ashidwe kuendelea na pambano,,ule ni uhuni tu
 
Back
Top Bottom