Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,059
- 1,572
- Thread starter
- #21
NdioLol watanzania bwana sasa unafurahia au
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdioLol watanzania bwana sasa unafurahia au
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji119]uchawi hauvuki bahari
Haaaaaa haaaaaHiv kapigana na. Mdosi au maana haingii akilini mdosi anashindia chapati maharage udundwee
Huyu atakuwa ni mtanzania hewa mkuu![emoji30]Lol watanzania bwana sasa unafurahia au
inahusu nini sasa kusema huo upuuzi wako hapaYule Bondia wetu NGUMI MKONONI na mbabe babe toka Mji Kasoro Bahari pale MORO achezeshwa akadumba pale Nchini INDIA [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ni Round ya 3 baada ya kupewa ngumi zenye akili akanyoosha Mikono JUU [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
POLE SANA Bondia wetu, kipigo ulicho pewa ni kipigo kwa JPM
[HASHTAG]#FreeMaxMello[/HASHTAG]
mara ngapi?Sitashangaa uzi huu kuhusishwa na siasa kutoka kwa baadhi ya wachangiaji
sijaelewa kwa hiyo kakimbia?Cheka mhuni sana... Hilo pambano alikua hata akipigwa anavuna Euro 8000.
Akakacha pambano.
Kweli kabisa...kumbe unawajua vizuri hawa mabondia wetu mkuuNgoja arudi tuanze kusikia visingizio
[emoji61]Huyu atakuwa ni mtanzania hewa mkuu![emoji30]
Yule Bondia wetu NGUMI MKONONI na mbabe babe toka Mji Kasoro Bahari pale MORO achezeshwa akadumba pale Nchini INDIA [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ni Round ya 3 baada ya kupewa ngumi zenye akili akanyoosha Mikono JUU [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
POLE SANA Bondia wetu, kipigo ulicho pewa ni kipigo kwa JPM
[HASHTAG]#FreeMaxMello[/HASHTAG]
Mkuu ngoja atue hapo Kiwalani halafu umsikie atakavyochonga!!Kweli kabisa...kumbe unawajua vizuri hawa mabondia wetu mkuu
Kweli kabisa, huwa nikiwasikia kwenye habari za michezo nacheka sanaMkuu ngoja atue hapo Kiwalani halafu umsikie atakavyochonga!!
inawezekana mkuuMabondia wengi wa Tanzania wana Tabia ya kuuza mechi hasa wakiwa nje, unakuta Bondia wa Tanzania akipigana pambano kama hilo anapewa labda dollar 10000, lakini akikubali kupigwa anapewa 15,000.00 wengi wanakubali kupigwa, nimeipata hii kutoka kwa jamaa yangu Bondia majuzi tu alikuwa ulaya na aliombwa akubali kupigwa ili asimvunjie hadhi bondia wa nyumbani na pia kuna wacheza kamali waliowekeana dau
We chunguza wote wanapigwa round ya tatu
Nilihisi hii kitu,Marehemu Machali alishawahi kuzungumzia hiyo kitu.hajaoigwa bhana kasitisha kuendelea na pambano atakuwa smeuza mechi
Ulitaka nilie?Huyu atakuwa ni mtanzania hewa mkuu![emoji30]