Mabondia wengi wa Tanzania wana Tabia ya kuuza mechi hasa wakiwa nje, unakuta Bondia wa Tanzania akipigana pambano kama hilo anapewa labda dollar 10000, lakini akikubali kupigwa anapewa 15,000.00 wengi wanakubali kupigwa, nimeipata hii kutoka kwa jamaa yangu Bondia majuzi tu alikuwa ulaya na aliombwa akubali kupigwa ili asimvunjie hadhi bondia wa nyumbani na pia kuna wacheza kamali waliowekeana dau
We chunguza wote wanapigwa round ya tatu