Hatimaye Chombo cha anga za mbali cha waarabu kimefika salama eneo la Orbit

Hakuna aliethibitisha kufika huko,wote wanaongelea nadharia tu.hakuna aliethibitisha bila kuacha maswali.

Sasa hapo utakataaje kuwa mwezini hakuendeki,na sio kwamba majaribio hayafanyiki.

Yanafanyika ila hayafanikiwi
hakuna aliedhibitisha? una uhakika brother?
eti mwezini hakuendeki .. nani kasema hahaha
dude unaish dunia ya ngapi?
wenzetu wameanza space exploration toka 1960.
by then africa bado inakimbizana na uhuru.

kwenye science wametuacha mbali.

lakini narudi palepale.. una ushahidi kuwa hawakuwahi kufika?
kama unao weka hapa.. sio porojo
 
Mkuu pole sana naona unaumia sana kwa hali ilivyo, watu wanaishi kwa hofu na uwoga wa hali ya juu.

👉🏾Juzi Marekani chombo chao kimefika sayari ya Mars na wamegonga cheers kwa hatua hiyo, najuw hatuwezi kuwafikia ila kuonyesha kuwa tupo njiani vitu kama hizi corona zisingetupa tabu.

Inafikia hatua utaalam unawekwa pembeni kisa mwanasiasa anasema fanya hivi, hili ni tatizo kubwa na lenye kuondoa misingi ya elimu kwa wataalamu wetu, wanakuwa hawana mtu wa kuwasikiliza, hatua ya mwisho ni vurugu na uharibifu.

 
Weka uthibitisho wa waliowahi kufika mwezini,kama sio kale kapicha ka kuunga unga na kameshapingwa.

Kuhusu sayansi wala sikatai,mbona mars sijakataa tena ambako ni mbali zaidi.

Ila mwezini hakuendeki
 
Weka uthibitisho wa waliowahi kufika mwezini,kama sio kale kapicha ka kuunga unga na kameshapingwa.

Kuhusu sayansi wala sikatai,mbona mars sijakataa tena ambako ni mbali zaidi.

Ila mwezini hakuendeki
ww ndio nimekuomba udhibitisho. maana unadai hawajafika.
so idhibitisho wako ni upi?
 
Mkuu wewe unae amini ndio uweke uthibitisho kuonesha walifika.

Mimi ntakuonesha nini
ww unae pinga ndio uweke udhibitisho. na toka mwanzoni sana nilikuomba udhibitisho ukawa uanzunguka zunguka tu.
 
Kumbe unapata hisia
 

yaani ustarab wa wamerekani unaupima kwa trump, wale mil 70+ waliompigia kura walikuwa ni wabongo yan mzungu akikosea mnatafuta visababu aonekane yuko sahihi kwa mapungufu ya trump kura mil 5 badala ya 70+ zigetosha kuonesha wazungu ni perfect
 
Wangekuwa na raslimali ka za Waafrika, mzungu hangemfikia hata kidogo. Sahi huko jangwani na anafanya maajabu kila kukicha, hyperloop iko stages za mwanzo testing, flying taxis tayari wameanza testing mijini juu ya maghorofa yao, yaani wanakwenda kwa mwendo kasi aisee. Yule mtu pesa anajua kuzitumia vizuri sio ka sisi kufuja tu daily.
✌️
 
Warabu sasa hivi wana fanya partinership na China na USA huenda tukabaki peke yetu au na latinos America. Hapa Africa naiona kidogo Nigeria na Ghana kwa mbali wanajaribu project za maana.
SA walikuwa na nafasi ya kwenda mbele badala yake wamerudi nyuma.
 
Hongera zao sana...

Binadamu wa zamani walijenga ukuta mrefu sana kwenda juu...

Binadamu wa sasa wanaruka maelfu ya safari mbali kabisa huko juu...
 
Afrika itabaki kuwa Afrika, SA wangekuwa wamewakilisha toka kitambo sababu wako na vifaa vingi tu ila ata siwaelewe wale na wazungu wao, wanalala sana! 🤣
✌️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…