Hatimaye Chuo cha Dar es Salaam kimeanza kuzingatia uvaaji wa mavazi kwa wanafunzi

Hapo wamama na wababa watakuwa wamefunzwa vema, maana mavazi ni kioo cha tabia ya mtu.
 
Huu ni ulimbukeni, waache vijana wale maisha, wakati nyinyi mnasoma nani aliwaekea hizo sheria za kipuuzi? mwanafunzi anatakiwa awe comfortable awe huru, subirini wakienda huko makazini watavaa mnavyotaka.
Subiri wanyooshwe kwanza wazoee sheria.
 
UDSM ni chuo cha kimataifa, suala ni je, hizo dressing code ni kwa ajili ya Watanzania pekee au hata walr wa kimataifa? Nauliza hivi kwa kuwa uvaaji huu wa kisasa wa kiuchi-uchi kwa wanawake na wanaume wengi wa Kitanzania, umeigwa kutoka Marekani na Ulaya.

Vv
 
Huu ni ulimbukeni, waache vijana wale maisha, wakati nyinyi mnasoma nani aliwaekea hizo sheria za kipuuzi? mwanafunzi anatakiwa awe comfortable awe huru, subirini wakienda huko makazini watavaa mnavyotaka.
Kwa mujibu wa tangazo, inaonekana dressing code inawahusu wafanyakazi tu, lkn wakifanya hivyo kwa wanafunzi itakuwa sio mbaya. Utafurahia kunuona binti au kijana wako wa kiume anakuvalia hivyo nyumbani kwako?

Mkuu kabla ya kuja wazungu babu zako na bibi zako waliikua wanavaa nini? vibwaya ambavyo vilikua vinaonesha makalio, matiti na nyeti zao nyingine, leo hii mnajifanya kuficha hizo nyeti zenu kwaajili ya nini? waache vijana wale maisha, wakikua wataacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…