Hatimaye Chuo cha Dar es Salaam kimeanza kuzingatia uvaaji wa mavazi kwa wanafunzi

Hatimaye Chuo cha Dar es Salaam kimeanza kuzingatia uvaaji wa mavazi kwa wanafunzi

Hicho chuo ndicho pekee cha kimataifa hapa nchini hayo ma dress code ya nini!?
 
Leo nimefarijika sana kuona Udsm by laws ikiradidi maelekezo kutoka kwenye nyaraka mbalimbali za watumishi wa Umma kuwa kuanzia sasa ni muhimu kuzingatia maelekezo ya nyaraka za mavazi.
View attachment 1249955

Je zina apply kwa watoa huduma pekee au na wapokea huduma? Kama ni kwa wote pamoja na wapokea huduma basi safi sana maana kuna mabinti wanavaa kimtegomtego sana vitovu vinachungulia wapitanjia
 
UDSM ni chuo cha kimataifa, suala ni je, hizo dressing code ni kwa ajili ya Watanzania pekee au hata walr wa kimataifa? Nauliza hivi kwa kuwa uvaaji huu wa kisasa wa kiuchi-uchi kwa wanawake na wanaume wengi wa Kitanzania, umeigwa kutoka Marekani na Ulaya.

Vv
Ukiangalia vizuri picha walengwa hasa ni Wafrika,hata hivyo inaweza kuwa mfano pia na kwa wageni.
Itafutwe taswira nyingine ya uwakirishi kwa wote.
 
Sisi kila kitu tunakuwaga wa mwisho kugutuka [emoji3]
 
Leo nimefarijika sana kuona Udsm by laws ikiradidi maelekezo kutoka kwenye nyaraka mbalimbali za watumishi wa Umma kuwa kuanzia sasa ni muhimu kuzingatia maelekezo ya nyaraka za mavazi.
View attachment 1249955
Nimepita leo mkuu nimeona ila watazingua nilikua napenda washkaji wanavaa wanavyotaka tatizo lipo kwa dada zetu nilikua nachukia sana chuo chetu IFM kuzingatia dressing code
 
Back
Top Bottom